Wanaume mliopata wake wa maana wa kuoa, mliwezaje? Au mlijitoa tu ufahamu mkaoa

Safi nimependa vile unamtanguliza mungu mbele na hio ndio Siri kubwa
 
Hivi kupata Mwanaume bora na kupata Mke bora kipi kigumu 😀.

Mm nimwanaume lkn, nahisi kuoata Mume bora ni ngumu, kwa sababu Mwanaume ni package kubwa kuliko mwanamke.

1. Uwe na hela
2. Uwe na upeo mkubwa wa akili
3. Uwe smart
4. Uwe na nguvu za mwili

Kigezo cha mwanamke,
1. Uwe mke mwema 😀, tabia njema, sijui kujali watoto, kujua kupika, kufua, utiifu all of which are purely qualitative na mwanamke anaweza akafake.

Any way natafuta mke, no. ni ile ile ya siku zote
 
Hakuna mwanamke perfect au mwenye ubora au sifa ambazo wanaume wanao owa wanataka. Cha mhimu mwanaume unaamuwa tu vitu kumi mhimu unavyo taka kwa mwanamke awe navyo. Na katika votu hivyo kumi tick viwili tu ambovyo ni lazima basi ukiona mwenye navyo viwili katika kumi chukuwa huyo . Vingine ambavyo hana jifuze kuishi bila hivyo vitu . Kumbuka hata mke aliye kukubali naye alikuwa na vitu alitamani uwe navyo, lakini hauna na amekubali kuwa hauna .
 
Look! Kama umepata fursa yakusoma angalau kidato cha nne utakutana na theories mbili muhimu! Survival for the fittest; na struggle for existence! Dunia hii ili uhimudu inabidi huwe na nguvu! Mwanaume unatakiwa uwe na nguvu nyingi kumzidi binti unayetaka kumuoa kiasi kwamba akija au akipata nafasi ya kuongea na wewe, huyo binti ndo atakuwa na struggle ya wewe umpende na kumuoa! Ndo maana vijana au mwanaume tunawaambia "tafuta hela". Wanawake ni kama kuku uliyemfuga yeye kuishi au kuchinjwa kwake sio issue kwasababu mwanamke haishi kwa maono, anaishi maisha ya sasa (wakati huo huo) hawazi mstakabali. Mimi nilivyokuwa kijana najitafuta sikuwa mnyonge kiasi kwamba nikimleta manzi ghetto mara ya kwanza, ya pili, ya tatu nikija kushtuka nakuta nguo zake nyingi anaanza kuhamishia ghetoni kwangu na wakati mwingine hataki kurudi kwao! Vijana tafuta hela mabinti watakugombania!
 
Kwa anayetarajia kuoa: funga, sali na toa sadaka Mungu atakupa wa ubavu wako.
Ukijitwalia asiye wa ubavu wako utalia maisha yako yote.
 
Don't waste your time on this nonsense struggle saka chapaa kama mwehu achana nawanawake kuna maisha after bedtime utagongewa na sio mlango
Mm swez waste my time looking for a woman to marry or begging Jah to send me one that is rubbish
Always eyes and mind on money money never cheat never lie take it or leave it is up to you and your family
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…