robbyr
Senior Member
- Apr 8, 2017
- 129
- 221
Ha ha haNimempa kazi Baba yangu mdogo anitafutie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha haNimempa kazi Baba yangu mdogo anitafutie
Aiseh kumpata mke wa kuoa ni big challengeHakuna formula maalumu mkuu.
Ukweli ukihitaji kuoa Ile serious ghafla Kila demu uliyekuwa umemuwekea malengo unaona hafai Tena na kweli anakuwa hafai kabisa.
Mimi ilinitokea baada ya kuona nafeli kwenye nukta ya mwisho wa field yangu.
Nikaadhimu kukaa na mzee nikamwambia mzee Kila binti nae taka kumuoa tunaanza vzr mwisho naona hanifai!!
Jukumu alilibeba mzee A-Z na lilifanikiwa vizuri na kwa ufasahasana Hadi leo na enjoy.
Familia ya kwanza ilikuwa pisi nzuri ya kijijini ndani ndani hata Mimi nilipoiona nilisema mzee anajua na kujua zaidi.....
Lakini mzee kumbe alikuwa Bado anafanya investigation zaidi ndipo akaambiwa ukoo huo (Babu yake na binti )alikuwa na ukoma
Taarifa hizi nilizipokea Kwa shingo upande tu maana Tyr nilikuwa nimeanza kuwasiliana na yule binti nae alikuwa kanielewa....
But ilibidi nitii sikuwa na namna.
Ndipo mzee akapata Kwa familia niliyo oa hii
NNi mana yakeMwalimu kafa , mama Maria yupo,
Mandela kafa, Grace yupo,
Mkapa kafa, mama Anna yupo,
Magufuli kafa, mama Janet yupo,
Mwinyi kafa, mama City yupo........
Kazi kwelikweli
😆😆 broh! 🙌🙌🙌🙌Nirudishie mahari nikupe wangu, nitaoa mwingine.....
Bro naonesha kujali au sio 😹😆😆 broh! 🙌🙌🙌🙌
Huu muda uliotumia ku-comment hapa jamiiforum, jamiiforum imekulipa sh ngapi, unapoongea na wazazi au ndugu zako, au rafiki zako huwa wanakulipa sh ngapi? realMamyWanafanya hivyo kwa sababu Muda ni mali. Mkae tu kupiga stori halafu? Huo muda Huenda angefanya kitu cha kumuingizia pesa. Hivo tu
Ungemjibu ubaya ubwelaHabarini,
Niko kwenye umri wa kuoa ila kila nikiangalia sioni mke wa kuoa, binafsi sina standards kubwa ninazotarajia toka kwa mdada, na siko picky kihivyo, shida nikisema huenda huyu ni potential wife, unakuta mdada ni block 41 kikosi cha mizinga, hata kwenye mazingira ninayoishi kuna wanaume wengi tu wako kwenye umri wa kuoa, wana kazi nzuri tu, ila bado wapo single, sawa huenda mimi nina tatizo (personality problem) ndo maana sipati mke, lakini je hata wanaume mabachela naowajua nao pia wote wana tatizo??
Mdada ambaye atakuchukulia kama a friend and a life partner, muanze familia from the scratch hadi mzeeke pamoja, mwanamke ambaye sio lazma awe mzuuuri, awe tu mwenye mwonekano wa kawaida unaoridhisha na tabia inayoridhisha, wanaume wenzangu mliooa wadada wa hivyo, mliwapata wapi?
Huku mtaani all I see ni wadada ambao wanataka ku-suck life out of you wakuache empty, naishia kuona wadada ambao wanataka financial help na sio love.
Mfano imagine unamwita mdada uliezoeana nae tena mnaishi mtaa mmoja, aje barabarani uliposimama mpige tu story, anakuuliza akija utampa nini, na hujamwomba namba na hujawahi mtongoza, u can imagine jinsi wadada wengi walivyo sick kitabia huku mtaani.
Weekend njema
Takoless +suraless🤣🤣🤣🤣🤣Mke mwema atoka kwa Mungu. Sasa kwann uhangaike kumtafuta? Atajiletwa na Mungu mlangoni kwako, lkn akiwa hana tako sura na elimu usimkatae