Wanaume mliopata wake wa maana wa kuoa, mliwezaje? Au mlijitoa tu ufahamu mkaoa

Aiseh kumpata mke wa kuoa ni big challenge
 
Relaaaaax.......atakuja tu!
Kama ni mtu wa dini mkabidhi Mungu ombi lako ...Kisha relaaaax tafuta pesa usijetesa mtoto WA watu!
Sie wengine tulirelax....Mai wetu akahangaishwa huko na mabazazi....now ametulia Kwa mwambazz hapa tunakula life!
 
Ungemjibu ubaya ubwela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…