Wanaume mna moto wa peke yenu. Siamini!

Pole mpenzi kwanini ulie peke yako njoo kwangu tulie wote tubembelezane kisha tufutane machozi,baada ya hapo tuishi maisha furaha wale wote walio kuumiza tuwakate ngebe karibu laaziz.
 
Sio wote wavumilivu kama wewe wengine zikiwashika tu hao way

Ngorongoro kuna vijana kazi yao ni kula mbususu za wazungu tu na wazungu wanatoka kwa mpaka hapa kwasababu ya dudu la mtu mweusi
angejipa muda, huku wanajifanya wanadate huku wanasomana kasema juzi means wana siku tatu tu kishavuliwa chupi chapa ilale
 
Jichunguze huenda alitaka ndoa kweli ila akukutana na vitu asivyoweza kuvumilia kutoka kwako.
 
Pole.
Siku nyingine ukipata mpenzi acha kumfungukia past zako mbaya mbaya. Maana kuna muda akikuangalia anakuwa hakuoni wewe anaona zile past zako moyo wake unasinyaa.

Kwenye kikao tulisema ukiulizwa uliwahi kuwa na wanaume wangapi, hakikisha hawazidi wawili yeye awe watatu.
 
Tunakumbushana wanaume "WAKUMUOA NI BIKRA TUU!"
 
UnatAfuta sana Attention na stories zako za kubumba.
 
Hahah😂😂😂,. Kweli vijana wa zamani walichangamka
 
Ukimaliza kulia kunywa maji upoe. Sasa hapo umesema juz umempata mpenz. Ukmansha uljirahis kwake kwa kua alkuja na mbinu y ndoa, sie ukijirahs tunajua empty...
 
Swala Lako Umelileta Kiunyagoni Haswa,,,Wajandoni Tumekwisha Kuelewa Shaka Ondoa Utafurahi Tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…