Wanaume mna shida gani? Unamuheshimu mtu, anakuja kukutongoza

HUO NDIO UANAUME NA SIJAONA TABU YOYOTE KWA HAO WANAUME WENZANGU

KUTONGOZA NI KITU CHA KAWAIDA
 
Umewekaje I'd ya Dr. Halafu huielewi nature wewe!!?

Nature imeamua madume yatapanda majike lakini sisi binadamu tutakua tunaomba namna ya kuwapanda wanaotuvutia!!

Ungekua mwanagu au ndugu wa damu ningekufunza namna ya kujibu kwenye situation kama hizo!!

Hebu njoo na statement kama "Actually nimekuelewa ,lakini Kuna mtu namsikilizia nipo nae ngoja nione anaponifikisha kwanza,nione kama yupo serious na ndoa"
"By the way nashukuru kwa hilo coz unaniheshimisha sana,lakini bado sijaweka mambo yangu sawa nikikaa poa nitafikiria lakini kwa sasa hapana!

Unajibu kama matured mammal na sio adolescent mammalian!!

We vipi!!?
 
Dr. Mariposa mdogo wangu tunavyoheshimiana, hivi ikitokea siku moja nikakukosea utanisamehe kweli?
 
Sasa kwani una ukimwi huliki mpaka tuogope kukutongoza? Wanawake wote wanatakiwa watongozwe ili wajiami na wariness wazuri, mwanamke asiyetongozwa anakuwa chizi
 
Ndiyo maana kuna mada humu zinasema 'JF haina mwanamke'.

Kumaanisha kwamba, members wote ni wanaume halisi na wanaojifanya wanawake, ni wanaume wanaofake jinsia!

Ushahidi ni kama mada za namna hii zisizoenea katika nafasi ya uhusika.

Hivi yawezekanaje kutongozwa kukawa ni jinai sawa na tusi kwa namna ulivyolielezea?

Kutongoza ni 'kunadi sera' na mwitikio wake huwa kuna 'ndiyo' na 'hapana' period.

Wadhani msura alioumbiwa mwanamke ni kwa ajili ya kuheshimia wanaume?

Au wadhani kutongozwa ni kudharauliwa?

Mbona mada ya kinyonge sana hii?

Elewa mechanize alizoumbiwa mnyama mnyonge (swala, nyumbu nk)mfano pembe, kelele za kutisha au meno, hazijawahi kumsaisia anapotakiwa kuliwa.

kutongoza lingelikuwa ni kosa, basi kungeliwekwa sheria ya katazo pamoja na hukumu ya adhabu.
 
Una bahati, unatongozwa na wenye pesa tuu.
Wengine tunatongoza tuu na hatutoi ahadi yoyote na tunapewa vizuri Sana.
 
Msipotongozwa....mbio ikwiriri kwa babu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…