Wanaume mna shida gani? Unamuheshimu mtu, anakuja kukutongoza

@Dr Mariposa umeolewa?
 
Mpenzi wake ni mdada jamani mbona huwaga mnajisahaulisha kwamba alishasema yeye ni lesbian?alishasema hapendi wanaume,
Alaaah! Mie sikulijua hilo. Kumbe ndo maana kwenye stori yake kasema kuna siku alivaa kipensi kifupi na vest akampandisha midadi ba mjengo!

Hahahaaa sasa mbona alitoka nduki baada ya kutongozwa na ba mjengo? Si angemjibu tu dry kwamba "mzee ngoja nikakuvalie dushe la plastic ndo uujue undani wangu"
 
Ila daktari kuna siku njemba flani atakuotea utapelekewa moto mpaka uache kuwapuuza uwe unamuona kwenye glassπŸ˜…
Ishu sio kupelekewa moto hata huku nilipo napeleka na kupelekewa moto, ishu ni hisia hazipo upande huo, yaan kama ambavyo wewe unaona mwanamke mwenzio hakupi hisia zozote basi na mimi ndio hivyo mwanaume hanipi hisia zozote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…