Wanaume mna shida gani? Unamuheshimu mtu, anakuja kukutongoza

Ahsante kwa ushauri
 
Unaambiwa hakuna bidhaa au mwanamke au mtu asofika bei dau lako tu unalotaka hawajafika waliofika mbona huwasemi kikiwepo iko kibwana chako ungehishimiana nae asingekuweka doggy style.
Umepata jibu sasa, sina heshima nae ndio maana ananiweka doggy style, huwezi ukamuheshimu mtu halafu mkaenda kuvuliana nguo.
 
Kuna mwenzio humuhumu anataka mume wa miaka 34-45 ebu mtafute akuelezee huenda nawe unapita njia zake, siku hazichelewi madam isije huyohuyo jirani yako alokushika mkono leo asubuhi akaja kukutia moyo uvumilie utapata tu mume!
 
Sasa unachukia upendo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…