Wanaume mna shida gani? Unamuheshimu mtu, anakuja kukutongoza

Kuna mwanamke wangu mmoja nilimwambia nadhani siku nikimuoa ntaacha kabisa kutamani tamani nje ntafocus na ndoa yetu. Akaniambia wewe? Ndio mimi, akaongeza LABDA UPARALYSE lakini ukiwa sawa hadi unazeeka tu.
Kwahiyo dada Mariposa, mwanaume rijali haachi kutongoza hata akizeeka.
 
Mkuu,
Utawalaumu bure hao miamba. Mwanaume na kutongoza ni kama samaki na maji. We kama hutaki mkatalie tu halafu usitilie maanani sana.

Mwanaume anaweza kutongoza wanawake kadhaa, wakakubali mfano 4 akala 1 tu
Nilitongoza wanawake wawili siku moja. Wote wakakubali. Nimekula mmoja tu. Mmoja kabaki anashangaa mbona siombi mechi.
Ukweli ni kwamba ananishawishi nikimuona tu, akishakuwa mbali nami sina habari naye kabisa.
 
maneno mengiiiii unachezea wino tu.....hutaki kuchakatwa mbususu?
 
no mkuu, huyu ni dizaini ya wale washamba washamba waliojua jiji at 50's
Mi hata nashindwa kumuelewa kabisa!
Angetangaza kwamba yeye bikra, hapo ingekuwa sawa.
Anakataa kutongozwa lakini wakati huohuo kumbe ana jamaa yake anae mbiduabidua. Sasa sijui jamaa alimpata kwa kubakwa ama vipi?!
Bila shaka huyu ni wale dizaini ya "niangusage dhambi zako mwenyewe...!
 
hujakutana na malaika, kabla hujaingia kaburini usiape chochote
Yale maumivu niliyopataga yalikuwa makali sana, fikiri darasa la 3 ndo naanza kupenda nikampenda huyo binti. Nilichapwa sana na mama yangu, pia shuleni walimu walipambana sana kutuachanisha lakini mimi nikawa king'ang'anizi nikasema sijawahi kumwona binti mzuri kama huyo, nikasema nikiwa mkubwa nitamwoa na sitaki kulala nae hadi ndoa. Tulikuja kutenganishwa na haya mashule ya udhamini wa mabalozi kipindi cha mkapa yakajengwa mawili yeye akafaulu tofauti na mimi, ndo akawa mbali nami akanikana kuwa sijawahi kuwa na mahusiano na yeye.
 
Kwa iyo tukiwa vijana fresh tukikutongoza?
 
Ulichopewa na Mungu kumnyima mwanaume ni Dhambi Mariposa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…