Nyie wenyewe akili zenu zinakuwa hazipo kwenye tendo sababu ya kuendekeza fedha. Wakati wa mechi mnawaza madeni ya mikopo yenu, rejesho la vikoba,hela ya mchezo majina matatu....nk.
Halafu pili kukojoa unategemea na ww experience yako ya ngono, umeanza ngono tokea shule ya msingi, ushakutana na mirungu ya kila aina,iliyo pinda kila style,ushakutana na wahuni wenye punzi za kila aina, ushafanya ngono kwenye location kibao mpaka vichakani, unakutana na kijana wa watu yy hajazoea hizo fujo zenu,ambaye kwako ww ni wa 100+ halafu unamlaumu hakukojozi. Wazee wazamani walikuwa hawana mambo mengi,hawana body counts za kitisha kama mabinti wa siku hizi wengi walikuwa wakiolewa mabikra, hawana haya madeni ya kujitakia sijui mikopo, michezo,vikoba ndio maana akili yote inakuwa kwenye tendo,unakuta vidole tu na bao mbili kishakojoa.
Sio nyie mnakuwa na wasiwasi katikati ya ngono ukisikia simu unahisi kijumbe au afisa wa mikopo au mweka hazina wa vikoba anakutafuta, bado unawaza baada ga kupigwa mashine utapewa kiasi gani. Yaani siku hizi ukipiga ukimwaga na ukarizika inatosha kaendelee na mambo yako.