baunsamuoga
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 1,135
- 1,182
Ni vyema ukikaa na mwenza wako na uwe muwazi kwake Bila aibu utoe changamoto zako kwake, na yeye atazungumza Bila wasiwasi.
Ni kweli kabisa Hoja yako inamashiko ikizingatiwa kwamba ni tatizo la mahusiano ya watu wengi. Nadhani yapo mambo kadhaa yanayoweza kupelekea Hali kama hiyo kujitokeza kwenye mahusiano.
1. Wanawake wengi hawawi wawazi kuelezea hisia zao, inapaswa kama mwanamke hakikisha una mwambia mwenza wako ni sehemu zipi kwenye mwili wako huwa zinakupa furaha zaidi, Hilo litafanya wote mfike kwa wakati.
2. Wanawake wengi wanashida ya kisaikolojia hususani kwenye muingiliano na marafiki, mtandao ya kijamii ndio imekuwa kama makungwi inapotokea umesoma mada frani au kuskia kwa marafiki kwamba kufikishwa kileleni mpaka mumeo awe na tupu kubwa hapo tayari unajiharibu kisaikolojia unapokuwa kwenye tendo unamdharau na kujikuta unatoka mwenyewe kwenye mchezo na jamaa anamaliza mambo yake.
3. Ukiingia kwenye tendo kama mwanamke usitegemee kufikishwa kileleni wakati wewe mwenyewe hujawa tayari kufikishwa, hapo inatokea mwanamke anakuwa mchafuuu hajari kabisa swala la usafi binafsi, wanawake wengi sikuhizi wamekuwa wakitoa harufu mbayaaa Sana, kitu kinachosababisha mwanaume akisha kutana na Hali hiyo anaharakisha kumaliza na kukuacha kama ulivyo.
4. Umalaya, wanawake wengi hawajatulia kwenye mahusiano, mwanamke anajikuta ameshatumia dudukee zaidi ya 10 umbo tofauti na kwa mume wake ni Nchi 3 hapo usije kutegemea utafika kileleni.
5. Matumizi ya njia za uzazi wa mpango, sindano, vidonge, vijiti nk ni miongoni Mwa vitu au mambo yanayosababisha mwanamke kukosa hamu ya tendo na kwa mwanaume kupata shida ya upungufu wa nguvu za kiume,, hapo ni ngumu kufikishwa au kufika.
6. Tabia ya wanawake kusagana. Hili ni miongoni Mwa janga la kidunia unakuta wanawake sikuhizi mnasagana hrf eti jioni unategemea mumeo akuandae vizuri ili akufishe? Muda huo mwanaume anakuwa kama anajichua akimaliza anavaa anaondoka.
7. Hisia, wanawake wengi wanakosa hisia za mapenzi, uwaze vikoba, maden, ex wako amekuvuruga muda huo mumeo yupo kifuani kwako unawaza amalize haraka aondoke zake.
8". Ulevi wa pombe, sigara, madawa kulevya kupindukia, ni miongoni Mwa mambo yanayoweza kupelekea mwanaume kukosa nguvu za kiume akibahatika anapiga kimoja anaangalia maisha yake.
9. Ulaji mbovu. Siku hizi vyakula vyetu ni chips yai la kisasa, mafuta yaliyokaangiwa yamesha tumika miez 3,ulaji wa makuku ya bloila yamejaa sumu nyingi unakuta mwanamke utamu wake kila siku unalegea na kuwa mpana maji mengi hata kama hajatumika,, mwanaume anamalizwa kabisa hata nguvu za ziada.
10. Majukumu ya kupambana na Hali ngumu ya maisha, Hali hii inafanya watu kuwa busy Sana kuwaza kesho Yao itakuwaje, muda mwingi mwanaume anakuwa mchovu.
11. Wanawake kukosa ushawishi na kushindwa kuwa wabunifu.
Unakuta mwanamke anaishi kimazoea na mume wake, ujuzi wa enzi za uchumba anaenda kuutumia kwa mchepuko akirudi kwa mume wake anavaa kama mna ugomvi,,
Ushauri.
Wanawake kuweni wabunifu kwa mwenza wenu, anzisha hata program ya kumtengea mumeo chakula ukiwa uchi wa mnyama.
2. Kuweni wawazi na wenye ujasir kuzungumzia mahusiano yenu.
3. Acheni tabia kwa wanawake kuingia vitu kwenye utamu matango, vyupaa na vinginevyo ili mambo yawe mazuri.
4., Wanaume tuwe wabunifu na watu wakujifunza kila siku kuhusu utatuzi wa changamoto za kimahusiano.
5. Tutumie zaidi vyakula vya asili, mchemsho haswa, mayai ya kienyeji, dagaa, Samaki mchemsho, bamia, mazoez na maji ya kutosha.
NB. CHANGAMOTO ZA KIMAHUSIANO HAZITATULIWI KWENYE MITANDAO AU KWA MAKUNGWI. INASHAURIWA TEMBELEA WATAALAMU WA AFYA., WANASAIKOLOJIA, MADAKTARI WA AFYA YA UZAZI.