Wanaume mnaharaka sana wakati wa kufanya mapenzi, na hamna ubunifu, shida ni nini?

Wewe kama huridhishwi sijui hukojoleshwi hilo ni tatizo lako
Nikupe hela na nikukojoleshe wewe unachonipa ni nini ?
Mimi nikishakojoa inatosha inatosha kama bata
Kimoja tu chali natunza afya yangu
Mume umekuwa muongooo! Usiwadanganye wenzio.
 
Sio kweli. Unaongea kwa experience.
Mwanaume kama unampenda akikugusa tu mkono chupi inaloa. Ukiona hukojoi ujue kwamba unajilazimisha kuwa na huyo mwanaume kwasababu zako nyingine.
Ila unaamimi kuwa siku hizi nguvu za kiume zimekuwa tatizo?
 
Sio kweli. Unaongea kwa experience.
Mwanaume kama unampenda akikugusa tu mkono chupi inaloa. Ukiona hukojoi ujue kwamba unajilazimisha kuwa na huyo mwanaume kwasababu zako nyingine.
Yaani mie nikajua tuko bize na marejesho kumbe wenzetu mko busy kukojoa!! Nimelia sana๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
 
Sio kweli. Unaongea kwa experience.
Mwanaume kama unampenda akikugusa tu mkono chupi inaloa. Ukiona hukojoi ujue kwamba unajilazimisha kuwa na huyo mwanaume kwasababu zako nyingine.
Wenzako wapite hapa, umewapa madini yote mhenga mwenzangu. Ukubwa dawa..
 
Basi kama ambavyo huamini hilo suala basi na hili pia amini hivohivo
Siwezi kuamini kama sijashuhudia. Ili uamini usemavyo lazima uwe umetembea na sampuli nyingi za wanaume na wawe wa zamani na hawa wa sasa hivi.

Unataka tuamini kama vile tunavyoamini ipo siku yesu atarudi inawezekana vipi?
 
Akojoe mwenyewe, huo mda wa kumkojoza nautoa wapi mkuu. Yaani hisia ni zake, naumiaje mimi namna ya kumfikisha?๐Ÿคช
Sasa hapo muhenga unafeli๐Ÿ˜ƒ. Na yeye akiwa anatulia tu kakodoa mimicho kama chura wazungu watakuja kirahisi?
Raha ya tendo mkojozane, ingawa ni kweli mwanamke anatakiwa kufahamu nini au style ipi inamkojoza ili atumie hiyo njia kukojoa.
 
Kwakifupi kazi hawaiwezi..
Mbwembwe nyingiiii, ooh nikikushika nitakukunja balaa, mxieew๐Ÿ‘‹๐Ÿผ๐Ÿ˜
 
Duh, Nusrat lkn umeninyima utulivu tena.
iyo mbunye sasa .
Ok nimependa uwazi wako kuhusu faragha,ofcoz now days hili suala limekuwa changamoto kwa boys wengi.
Mnatakiwa tu kutuvumilia ata kama nikipiga kimoja kinaweza kukusogeza kwa munda mwingine.
Also tumebaki wachache sana tunao fanya kweli kwenye tendo ilo,nilikuwa nakuomba Nusrat ikiwezekana nimusaidie bro ata kwa wiki moja nikupunguzie izo ngenye zinazo kisumbua.
Show me ur location we can make more conversation
 
Uwanja msafi?
Dildo hazijakuharibu?
Unamlisha chakula sahihi? Au unamlisha chips na mayai halafu hela nyingine unapeleka vikoba?
Upo romantic? Mwenye kumheshimu mume? Au inamlazimu atoe wazungu awe huru utajua na genye zako๐Ÿ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ