Wanaume mnajua mna matatizo

Jaman mshikeni huyo anataka kutoroka
 
sasa mnakubali kuolewa na wanajitafuta? hakuna anayependa kuchapiwa kisa hana hela
 
Kuna ndoa na harusi we mleta mada ntuchake halafu hapo ulipo upo mguu nje mguu ndani, Usilazimishe mambo as long as umepata sehemu ya kusitirika Acha maisha aendelee na ukiendelea kuulizia ndoa muda si mrefu utakuta umeshampoteza huyo jamaa

Shirikiana naye katika kujenga maisha na Usiwe mtu wa kubweteka tu. Inavyoonekana hapo hakuna future na utamwagwa kweli. Hauwezi ukambadilisha mtu lakini wewe ndio inatakiwa ubadilike mheshimu mwanaume anayekuhudumia usimkere na mambo ya kutaka ndoa.
 
Mkuu hapo ukimaanisha wewe unakuwa tiyari ushajipata uko na pesa na kazi yako kwa ujumla? ......au wewe suala la kutafuta pesa na kujipata halikuhusu?
 
Sema wabongo na waafrika wako desperate kinyama, Sasa kujuana 1-2 years halafu ndoa 😆.

wenzetu Hadi 4,5,7 years wako pamoja.
Tatazo wenzetu wakipenda wamependa kweli, sasa huku kwetu anakaa na ww miaka mitatu au zaid alafu haupo peke yako anafanya kuwashindanisha kama ligi ya mbuzi.

Mwisho anaoa mwingine, baadae mambo yakimuendea mrama anakuja kukuambia kuwa alirogwa. Kumbe ni lana za aliowapotezea muda.

Kama anafaa kwann uchelewe oa, na kama hafai kwann kumpotezea muda temana nae. Watu wana uchumba sugu na moyoni anajua dhahir shahir kuwa hatamuoa binti wa watu. Inaskitsha
 
Vipi wewe Blue umeamua kuwa watofauti, au unafuatisha wanawake wenzako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…