Wanaume mnakera sana

Hivi wanawake Nani kawadanganya kuwa mwaume kazi yake ni kuwa take care wanawake. Yaani mtu unataka mwanaume akutake care kama vile mgojwa wa akili? Halafu akikuhudumia yeye anapata nini in return?
 
Acha upuuzi, unasema una hela bank usingekuja hapa.

Inawezekana hata bank unaisikia tu, au unadhan MPESA ndo bank.

Yaan nyie viumbe sijui mlizaliwa kutoka kwenye pochi maana hela na nyinyi, nyinyi na hela. Na hamna cha muhimu mnafanyia.
 

I’m sorry to say but I think you’re idiot!
 
Stahamili joto la bekari upate mkate
 
Imebidi niangalie "avatar" nikusome kisaikolojia wewe ni nani! Kama huyo jamaa amekuoa au ana mpango wa kukufanya mke kaula wa chuya! Wewe ni wa "eat and run"
 
Ha ha ha ha na yeye amechoka kutuma Hela au hana maskini kaka wa watu kukuambua direct ameshindwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…