Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi wanawake Nani kawadanganya kuwa mwaume kazi yake ni kuwa take care wanawake. Yaani mtu unataka mwanaume akutake care kama vile mgojwa wa akili? Halafu akikuhudumia yeye anapata nini in return?Wanaume mnakera sana. Yani mtu anajua kabisa mwezi huu hajatuma hela ya matumizi Alaf anajikausha, unamkumbusha kwenye text mkiwa mnachat yeye anajibu sms nyingine hiyo anajifanya hajaiona unamtumia tena as a reminder anajibu oh I remember I will send . Anajikausha mpaka siku inaisha.
Ivi mna nn wanaume mnapenda kusumbuliwa eti?? Na sio kwamba hela sina ninazo zangu bank sitaki kuzitumia. Yy ameshajicommit kwenye jukumu la matumizi monthly Sasa Mbona ananletea mambo meusi. Kwan mtu ukiwa muwazi ukasema umeshindwa si bora kila mtu ashike njia yake Au mnaogopa izo kauli?
Sasa simkumbushi tena na simpigii wala simtext na yy akinitafuta sijibu mpaka hela iingie Ndio conversation itaendelea
Mmxxieeww nimechukia sanaa khaaa 😡😡😡
Acha upuuzi, unasema una hela bank usingekuja hapa.Wanaume mnakera sana. Yani mtu anajua kabisa mwezi huu hajatuma hela ya matumizi Alaf anajikausha, unamkumbusha kwenye text mkiwa mnachat yeye anajibu sms nyingine hiyo anajifanya hajaiona unamtumia tena as a reminder anajibu oh I remember I will send . Anajikausha mpaka siku inaisha.
Ivi mna nn wanaume mnapenda kusumbuliwa eti?? Na sio kwamba hela sina ninazo zangu bank sitaki kuzitumia. Yy ameshajicommit kwenye jukumu la matumizi monthly Sasa Mbona ananletea mambo meusi. Kwan mtu ukiwa muwazi ukasema umeshindwa si bora kila mtu ashike njia yake Au mnaogopa izo kauli?
Sasa simkumbushi tena na simpigii wala simtext na yy akinitafuta sijibu mpaka hela iingie Ndio conversation itaendelea
Mmxxieeww nimechukia sanaa khaaa 😡😡😡
Wanaume mnakera sana. Yani mtu anajua kabisa mwezi huu hajatuma hela ya matumizi Alaf anajikausha, unamkumbusha kwenye text mkiwa mnachat yeye anajibu sms nyingine hiyo anajifanya hajaiona unamtumia tena as a reminder anajibu oh I remember I will send . Anajikausha mpaka siku inaisha.
Ivi mna nn wanaume mnapenda kusumbuliwa eti?? Na sio kwamba hela sina ninazo zangu bank sitaki kuzitumia. Yy ameshajicommit kwenye jukumu la matumizi monthly Sasa Mbona ananletea mambo meusi. Kwan mtu ukiwa muwazi ukasema umeshindwa si bora kila mtu ashike njia yake Au mnaogopa izo kauli?
Sasa simkumbushi tena na simpigii wala simtext na yy akinitafuta sijibu mpaka hela iingie Ndio conversation itaendelea
Mmxxieeww nimechukia sanaa khaaa [emoji35][emoji35][emoji35]
Stahamili joto la bekari upate mkateWanaume mnakera sana. Yani mtu anajua kabisa mwezi huu hajatuma hela ya matumizi Alaf anajikausha, unamkumbusha kwenye text mkiwa mnachat yeye anajibu sms nyingine hiyo anajifanya hajaiona unamtumia tena as a reminder anajibu oh I remember I will send . Anajikausha mpaka siku inaisha.
Ivi mna nn wanaume mnapenda kusumbuliwa eti? Na sio kwamba hela sina ninazo zangu bank sitaki kuzitumia. Yy ameshajicommit kwenye jukumu la matumizi monthly Sasa Mbona ananletea mambo meusi.
Kwan mtu ukiwa muwazi ukasema umeshindwa si bora kila mtu ashike njia yake Au mnaogopa izo kauli?
Sasa simkumbushi tena na simpigii wala simtext na yy akinitafuta sijibu mpaka hela iingie Ndio conversation itaendelea
Mmxxieeww nimechukia sanaa khaaa 😡😡😡
Mwanamke anaweza kuwa na 1,000,000 lakini akaitaka 1,000!Na sio kwamba hela sina ninazo zangu bank
Imebidi niangalie "avatar" nikusome kisaikolojia wewe ni nani! Kama huyo jamaa amekuoa au ana mpango wa kukufanya mke kaula wa chuya! Wewe ni wa "eat and run"Wanaume mnakera sana. Yani mtu anajua kabisa mwezi huu hajatuma hela ya matumizi Alaf anajikausha, unamkumbusha kwenye text mkiwa mnachat yeye anajibu sms nyingine hiyo anajifanya hajaiona unamtumia tena as a reminder anajibu oh I remember I will send . Anajikausha mpaka siku inaisha.