Wanaume mnakera sana

Wewe mwenyewe unatukera sana, mpuuzi mkubwa weee
 
Ukweli mchungu wanawake wenzangu ifikie muda tuwe huru kiuchumi tuepuke tu kua omba omba.Hutakaa uumizwe hisia zako hata kama umezalishwa na kutelekezwa.
 
Gold digger
 
Saa kumi jioni mtu anasema good morning?

Aidha huyo jamaa ni limbukeni(na ndio maana unampelekesha) au kuna mchezo hapa siuelewi

unajichatisha?
Watu tunachuuzwa tu hapa na huyu mwamba. Halafu hiyo mistake yeye mwenyewe hata hakuigundua.

Hii text ya muamala nayo ime editiwa pia. Ukitaka kujua ime editiwa angalia hiyo figure ya MILLION MOJA ilivyoandikwa.

Imeandikwa 1000,000.00 kitu ambacho sio sahihi. Ingetakiwa kuwa 1,000,000.00
 
Huyu tapeli Kuna wajinga anatafuta humu. Yaani saa 10 unajisalimia mwenyewe good morning.
 
Business is Business....fuata mfanye barter trade acha ujanja wewe.
Unataka ule bila kuliwa??Ukichagua maisha ya short cut na kula vya watu ndi matokeo yake hayo....usiwe vuguvugu...chagua kuwa baridi au moto
 
Pole super woman kwa kunyimwa hela anza kutumia zako sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…