Wanaume mnakera sana. Yani mtu anajua kabisa mwezi huu hajatuma hela ya matumizi Alaf anajikausha, unamkumbusha kwenye text mkiwa mnachat yeye anajibu sms nyingine hiyo anajifanya hajaiona unamtumia tena as a reminder anajibu oh I remember I will send . Anajikausha mpaka siku inaisha.
Ivi mna nn wanaume mnapenda kusumbuliwa eti? Na sio kwamba hela sina ninazo zangu bank sitaki kuzitumia. Yy ameshajicommit kwenye jukumu la matumizi monthly Sasa Mbona ananletea mambo meusi.
Kwan mtu ukiwa muwazi ukasema umeshindwa si bora kila mtu ashike njia yake Au mnaogopa izo kauli?
Sasa simkumbushi tena na simpigii wala simtext na yy akinitafuta sijibu mpaka hela iingie Ndio conversation itaendelea
Mmxxieeww nimechukia sanaa khaaa 😡😡😡