Me is coming to ur pm to tongozering uNgoja nisubili nione
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me is coming to ur pm to tongozering uNgoja nisubili nione
Yeye don atakuhonga😉😉Khaaa siwez onga mwanaume
Tena liwe range rover sii hatari anaweza loweaha kyupi mapemaaaSijawahi kukuona mwanamke akikataa gari...infact huo ndio uchawi mkubwa unaofanya vishimo vyenu vikandamizwe
Ana kiingereza kitawasaidia mkiangalia tamthiliaAkiishiwa pesa akusanye vilago vyake tu mimi siwez kaa ndani na mwanaume ana pesa anafuga ndevu
We bongomuviSipendi tamthirria
Duuh!😂😂😂 yapambwe na pesa
waongo mbona wanajulikana tu hata wakiongea kiswahili, yani mtu akiwa ananitongoza kingereza kuna namna flani huwa najiskia😍🤗, ila ikiwa broken English namkataa kwakweliAha hao wengi waongo tuuu