Wanaume mnao tumia english kutongoza

Wanaume mnao tumia english kutongoza

nimeamini wanawake tunatofautiana, me napenda mtu awe anaongea kiingereza jamani🤗
 
Sijui kwa nini wadada wa JF nimetokea kuheshimiana nao sana sijawahi kumtokea mrembo yeyote PM na kumtomgoza utani huwa unaishia jukwaani tu
 
Aha hao wengi waongo tuuu
waongo mbona wanajulikana tu hata wakiongea kiswahili, yani mtu akiwa ananitongoza kingereza kuna namna flani huwa najiskia😍🤗, ila ikiwa broken English namkataa kwakweli
 
Back
Top Bottom