Wanaume mnaojifanya watetezi wa Wanawake humu mnakera sana

MUNGU: Adam upo wapi?
Adam: Nimejificha nipo uchi aisee.
MUNGU: Kisa?
Adam: Ni huyu mwanamke uliyenipa.
Hivi mtoa mada ajiulizi kwa nini Mungu akasema muishi nao kwa akili😁😁
Yaani uwe na utimamu kweli kweli.
 
Reactions: Tsh
Let peace be upon both of us buddy..

I will do deep crosscheck regarding to my habitual jabbering in online debate, so someone won't feel offended
 
Reactions: Tsh
Hivi mtoa mada ajiulizi kwa nini Mungu akasema muishi nao kwa akili😁😁
Yaani uwe na utimamu kweli kweli.
Aliye sema tuishi nao kwa akili ni paulo sio Mungu,Mungu amesema tuwatawale.
 
Tatizo umemsoma kidogo kwenye somo la GS.

Ungemsoma vizuri kwa muda wako ungefuta ujinga wa msingi angalau.
Sawa, haya nipatie kitabu chake unachohisi kitakuwa na msaada kwangu.
 
Aliye sema tuishi nao kwa akili ni paulo sio Mungu,Mungu amesema tuwatawale.
Kwa akili yako ndogo unaweza kukitawala kitu kilicho kuweka tumboni miezi kadhaa we mtoto kuwa na Adabu😁
 
Hivi mtoa mada ajiulizi kwa nini Mungu akasema muishi nao kwa akili😁😁
Yaani uwe na utimamu kweli kweli.
Hahaha, Yaani mkuu kama MUNGU aliona hapa suluhisho ni kuwafukuza tu kweny bustani basi mwanaume usipoteze muda.

Usiongee sana wala kuandika sana mnapozungumza au kuandikiana jumbe wakati wa mabishano. Majibu yako yawe mafupi mafupi, acha aongee sana au kuandika sana.

Utendaji wako anapovuka mipaka usiwe wa kusua sua kama MUNGU alivyoamua bila huruma, kama ni kuvunja mahusiano vunja, kama ni kuweka marufuku weka, kama ni kuondoka eneo alipo ondoka.
 
Mbona babu zetu waliweza kuwatawala?
Wahenga ni wanaume. Hakuna kulia lia sijui single mother sijui nini, Wakikaa kwenye vikao wakitoa maazimio kijiji kizima kinayafata.

Kipimo cha wanaume ni kuwatuliza wanawake wa jamii yao. Sauti ya mamlaka. Hata wakati wa ndoa, mzazi anakwambia nenda kijiji kile kwenye ukoo fulani, tafuta binti, mabinti zao wana adabu na ukichukua hukosei.


Muhimbu , mkuu njoo nipinge, nimewatetea tena.
 
Ukiona mwanaume kutwa analia lia na wanawake ujue ama hana hela au hana akili ya kuwamudu wanawake kulingana na mfumo dume aliokaririshwa
Au ana ushoga unamnyemelea

Au pengine inawezekana Mama yako na dada zako walikua washenzi........ hii haimaanishi wanawake wote wako hivyo
Watu wameishi na madingi wahuni wanatelekeza familia lakini mama walisimama imara

Usihukumu jinsia.... hukumu mtu kama mtu na tabia yake
 
Kwanza kabisa kabla ya kukupitisha kwenye kitabu, what is your epistemology?

Nisije kufanya kazi kubwa kukupitisha kwenye kitabu ambacho huna uwezo wa kujifunza kutoka humo.
My epistemology right?

Well, I am more attached to evidentailism because of the simplicity of learning.
 
My epistemology right?

Well, I am more attached to evidentailism because of the simplicity of learning.
I suppose by "evidentailism" (sic) you must mean evidentialism, and that was a typographical error.

Where is the quantitative analysis and empirical data to support your conclusions on this thread?
 
Mkuu Hawa wanawake WA kileo hata wakija mababu zetu WA miaka Ile hawatawezana nao, itakuwa ni vurugu tu kama unavyoona leo.

Pia vile vile Hawa wanawake wa kisasa bila liberalization na mabadiliko mengine ya kijamii yaliyowafanya wakengeuke, wangekuwa ni watiifu, na Wala wanaume wasingepata shida kuwatuliza.

Kwa hiyo kumbe msingi wa tatizo ni social construct mpya tulizo install kwenye jamii yetu, kwamba mwanamke ana uhuru wake WA kujiamlia mambo yake mwenyewe bila kuingiliwa na mtu, na mwanaume ukijaribu kufungua mdomo wako ni kumuingilia kwenye uhuru wake.

Hamuwezi ukampangia binti au mwanamke WA kileo jinsi ya kuishi ilihali jamii imeshampa uhuru usiokuwa na mipaka...
 
So, hii mbungi hadi sasa ni ngapi ngapi wakuu?πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…... Watetezi vs Wakandiaji.

Anyway, zile popcorn za kuonjeshwa kinguvu na wale vijana wa makumbusho ndio nasomea huu uzi.
 
Ndo maana watu hatuachi kunoa mapanga yetu,..πŸ”ͺπŸ”ͺ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…