Wanaume mnaojifanya watetezi wa Wanawake humu mnakera sana

Kwani ITR embu tuambie, una tatizo gani na wanawake?
Lilianza lini?
Baada ya kutokea nini?
Ni mfululizo wa matukio au ni tukio moja? Nini kikitokea huu mtazamo wako kwa mwanamke utafutika?
Mm sina tatizo na wanawake, kwanini mtu anapo wakosoa wanawake nyinyi mnakimbilia kuangalia ukosoaji wake kwenye negative na sio positive?
 
Very emotional person you are! Kama Ashura vile.

Unaamini kuna mtu anamtuma mtu kumtetea mtu humu? ndivyo ufanyavyo?

Una enjoy mwenyewe tunavyokupa attention humu kwa kukujibu.

Grow up!
Mm nitake attention yako kwani ww nani?
Yaani ndo tatizo lenu nyinyi wanawake huwa mnajiona ni wa muhimu ndo maana mtu akiwakosoa mnakimbilia kwenye chuki.
 
Very emotional person you are! Kama Ashura vile.

Unaamini kuna mtu anamtuma mtu kumtetea mtu humu? ndivyo ufanyavyo?

Una enjoy mwenyewe tunavyokupa attention humu kwa kukujibu.

Grow up!
Mate Ashura yupi sasa hujasema vizuri, yule aliyemteka diwani au? 😹😹
 
Sasa ndo watuponde kwa kutuita wavulana ?
 
Mojawapo ya viasharia vya jamii za hovyo duniani na zenye kiwango kidogo cha ustaarabu ni kukandamiza na kutojali makundi yenye nguvu ndogo za kimaamuzi katika jamii mfano wanawake, watoto na minority groups.
 
Mojawapo ya viasharia vya jamii za hovyo duniani na zenye kiwango kidogo cha ustaarabu ni kukandamiza na kutojali makundi yenye nguvu ndogo za kimaamuzi katika jamii mfano wanawake, watoto na minority groups.
Na hayo makundi yakikosea hayatakiwi kukosolewa?
 
Mnakosea.

Kutetea wanawake sio kosa, kosa ni kuwatetea bila sababu za msingi.

Tafuteni hizo sababu tunazotumia kuwatetea, mje nazo, hizo ndo tutajadili.

Mimi nitaendelea kuwatetea ninapoona inafaa.
Kuwatetea wanawake dhidi ya tuhuma au jambo lolote ambalo kinaonesha wazi kuwakandamiza ni jambo sahihi

Ila kuwatetea wanawake eti Kwa sababu tu wao ni wanawake hivyo wanastahili kutetewa sijui Kwa vile vile wao ni mama zetu, dada zetu, bibi zetu....blah blah huo ni ufala na ni dalili za USSENGE

ninachokionaga humu wengi Huwa mnawatetea Hawa watu Kwa sababu tu wao ni wanawake na ndio maana Huwa tunaona kauli kama "jamani tuwapunzishe kila siku wao tu".... "jamani hamna mama huko majumbani kwenu mbona mnawaandama sana?"... Sijui "mama ako au dada ako angekuwa anaongelewa hivi ungejiskiaje?... Hizo ni kauli Huwa zinatolewa mara Kwa mara na nyie watetezi wa wanawake humu.

Hivyo Kuangalia hizo kauli tu unaona kabisa mara nyingi mnakuwa mmesukumwa na mihemko kuwatetea wanawake na Wala sio maudhui ya mada husika inayowalenga wanawake hao.

Lakini Kwa mtu kama Mimi sishangai kuona lundo wa wanaume likitetea wanawake hivi maana najua hivi hizi ndio impacts za social engineering inayoendelea ulimwenguni kote.
 
Mm sina tatizo na wanawake, kwanini mtu anapo wakosoa wanawake nyinyi mnakimbilia kuangalia ukosoaji wake kwenye negative na sio positive?
Niweke assumption kwamba upo 40's meaning, umekuza binti mpaka amekuwa mtu mzima au umeishi kwenye ndoa na mwanamke miaka kadhaa au basi kama yoote hayo huna umelelewa na mama mpaka ukafika umri wa kuwaaga na kujitegemea.

Embu kwanza andika jambo moja zuri kuhusu mwanamke halafu tuendelee. Fanya kama vile ni break ya wadhamini.
 
Maisha yanatupa experience tofauti, hivo ni ngumu sana wanaume wote kua na mtizamo sawa kuwahusu wanawake.
Sahihi.
Eti kwa sabubu mtu haakulelewa vizuri na mama yake ambaye ni single maza ndio anataka kuwaamisha watu kwamba single maza wote ni mashetani wakati wako hata wanawake ambao sio single maza na malezi yao ni ya hovyo sana kwa watoto wao.
 
Uko sahihi sanaaa ndo mana wake zetu viburi vimezidi ,inafikia hatua unawaza kazini ,moto,maisha moto unarudi nyumbani moto kabisaaa
Usiishi na mwanamke mwenye kiburi. Mara nyingi, mwanamke ana mwanaume ambaye akisema neno anatii, kama si wewe huyo achana naye.
 
Na kumkandamiza mwanaume ni umalaika sio?
Niwanaume wangapi wameharibiwa maisha na wanawake na hatujawahi kuona mnawatetea?
Wewe pinga na washawishi watu wapinge wanaume wanaoonewa ila kuchukia watu kuwatetea wanawake pale ambapo wanaoana wanaonewa, wanakandamizwa au kudharauliwa kimfumo ni wehu na wendawazimu mtupu.
 
Reactions: Tsh
Waambie kwanza wanaume waache kununua malaya. Muuza bidhaa huwa analeta bidhaa yake dukani baada ya kujua wateja wanunuaji wapo.
 
Reactions: Tsh
Maisha yanatupa experience tofauti, hivo ni ngumu sana wanaume wote kua na mtizamo sawa kuwahusu wanawake.
Mada ilipaswa kuishia hapa.

Kuna vijana wametoka kwenye koo zenye maadili. Tangu kuzaliwa kazungukwa na wanawake wenye maadili, kuanzia madada hadi mashangazi.

Kaoa mwanamke mwenye maadili, kapata vibinti navyo vinakuzwa kwa maadili.

Huyu mtu ukimshambulia wanamke wote sababu ulisalitiwa na single mother hawezi sapoti mtazamo wako.
 
Waambie kwanza wanaume waache kununua malaya. Muuza bidhaa huwa analeta bidhaa yake dukani baada ya kujua wateja wanunuaji wapo.
Kabisa mkuu Yoda, pia mwanamke anapaswa kuongozwa na mwanaume.

Mtu mzima unaenda kununua kamalaya umekapita miaka 20 unakavulia nguo halafu uje kulaumu mwanamke hana maadili?

Kila mwanaume angekakemea hako kamalaya kangefanya umalaya kwa nani? Kwanza Kangeogopa.
 
Kuna muktadha unaruhusu pingamizi la namna hiyo.
 
Mie kwa kweli nasema kuanzia 2025 atittude yangu kuelekea wanawake ni kama attitude ya mataliban kuelekea wanawake. Wee sompeka jimoni huko hakuna cha shule wala nini. Wao ni kupika kugegedwa basi.
Hawa tumewaso.esha wanaanza kuche,a na mbupuz zetu
 
Mkuu na hili ndo lilikuwa lengo la uzi huu ila mafemenist wanajaribu kuupotosha, lakini hatutachoka kuwapiga sipana.
 
Mm nitake attention yako kwani ww nani?
Yaani ndo tatizo lenu nyinyi wanawake huwa mnajiona ni wa muhimu ndo maana mtu akiwakosoa mnakimbilia kwenye chuki.
Kwa umri huu wa robo ya karne nisijue chuki na kukosolewa?

Hautaki attention yangu, unataka attention ya wote wanaokujibu.

Go heal!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…