binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Mate Ashura kama Ashura mwenye nyau 😹Mate Ashura yupi sasa hujasema vizuri, yule aliyemteka diwani au? 😹😹
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mate Ashura kama Ashura mwenye nyau 😹Mate Ashura yupi sasa hujasema vizuri, yule aliyemteka diwani au? 😹😹
Hahaha, kwani mkuu wamekunyima utelezi?Mie kwa kweli nasema kuanzia 2025 atittude yangu kuelekea wanawake ni kama attitude ya mataliban kuelekea wanawake. Wee sompeka jimoni huko hakuna cha shule wala nini. Wao ni kupika kugegedwa basi.
Hawa tumewaso.esha wanaa za kututia vidole mkunduni sasa
Mwanamke ni mama yangu amenizaa na kunilea na ninampenda sana, haya tuendelee.Niweke assumption kwamba upo 40's meaning, umekuza binti mpaka amekuwa mtu mzima au umeishi kwenye ndoa na mwanamke miaka kadhaa au basi kama yoote hayo huna umelelewa na mama mpaka ukafika umri wa kuwaaga na kujitegemea.
Embu kwanza andika jambo moja zuri kuhusu mwanamke halafu tuendelee. Fanya kama vile ni break ya wadhamini.
Halafu mara nyingi nyie watetezi wa wanawake wabobezi( chronic simps) Huwa inafika kipindi mnakuwa mkoo too emotional kuliko hata wanawake wenyewe, karibu kila kitu kimlengacho mwanamke ambacho hamjazoea kuona kikitatajwa mnahisi Kiko offensive angalia kama hapa yaani kutamka neno jike limeleta shida.. mjinga sana wewe jamaa.Acha kupigana na wanawake. Kama huwapendi kabisa kaa nao mbali ila ukipigana nao kuna watakao inuka kuwatetea hata kama hupendi.
Jitahidi kuheshimu jinsia ya binadamu. Neno Jike linatumika kwa wanyama sio binadamu.
Kama?Kuna muktadha unaruhusu pingamizi la namna hiyo.
Vizuri.Mwanamke ni mama yangu amenizaa na kunilea na ninampenda sana, haya tuendelee.
You will be fine bro. Suala lako limekuja kipindi kibaya... tuko bize na uchaguzi wa CHADEMA. Mnyampaa anamshambulia vibaya mno Sultani Mbowe....Hayo unayajua ww kwa sababu umeyasema ww maana mm sijayasema hayo unayo lazimisha.
Ww unadhani kila mtu ni dhaifu wa uchi kama ww?
Ww unasema wanakupa utamu kwani ww huwapi utamu ?
Maboya kama nyinyi ndo mnawafanya wanawake wajione wana haki kwa mwanaume ila wanaume hawana haki kwa wanawake.
Hakuna sehemu yeyote nilipo sema wasitetewe wakionewa au kukandamizwa ebu soma mada yangu vizuri.Wewe pinga na washawishi watu wapinge wanaume wanaoonewa ila kuchukia watu kuwatetea wanawake pale ambapo wanaoana wanaonewa, wanakandamizwa au kudharauliwa kimfumo ni wehu na wendawazimu mtupu.
Iposijawahi hata kwa bahati mbaya kuona comment au thread iliyo andikwa na mwanamke kwa ajili ya kuwatetea wanaume.
huwezi jua mpaka uingie kwenye mjadala,Kama?
Jike ni neno linalotumika kutambulisha mnyama. Binadamu mwenye jinsia ya kike anaitwa mwanamke. Ni namna au utaratibu ambao dunia ya binadamu wastaarabu wamejiwekea. Imetoka kwa mababu zetu huko sio kwangu.Halafu mara nyingi nyie watetezi wa wanawake wabobezi( chronic simps) Huwa inafika kipindi mnakuwa mkoo too emotional kuliko hata wanawake wenyewe, karibu kila kitu kimlengacho mwanamke ambacho hamjazoea kuona kikitatajwa mnahisi Kiko offensive angalia kama hapa yaani kutamka neno jike limeleta shida.. mjinga sana wewe jamaa.
Vita ni vita mura. Hata kuingia mtaani na kuita wanawake majike ni vita vya kimaadili dhidi ya mwanamke.Na pia kwenye comment yangu hakuna mahali nimeonesha au kuashiria nataka kupigana na wanawake, ni wapi umeona??
Una tatizo la kushambulia pasipo na uhitaji. Yaani una vita vya hovyo.Tatizo tayari umeshakuwa na akili za kike na Sasa huna tofauti na binti, maana mabinti ambao wako kwenye adolescence Huwa Wana mihemko sana hata akiulizwa jambo anajibu nje ya muktadha husika..!!
Suala la kutetea mwanamke unapomshambulia hata ukilipinga halitafutika kwenye jamii ya leo. Huna namna zaidi ya kuikubali hali.Na kingine sijakuzuia kuwatatetea wanawake, Mimi ni nani nikupangie wewe Cha kufanya? Endelea kuwatetea huku makosa Yao ukiyafanya yaonekane ni makosa ya wanaume kama unavyofanya siku zote.
Sasa kelele zote za kazi gani?Sija patwa chochote.
Mfano wa jambo gani ambapo wanawake walikoselewa halafu watu wakasema wasikosolewe kwa sababu ni wanawake?Hakuna sehemu yeyote nilipo sema wasitetewe wakionewa au kukandamizwa ebu soma mada yangu vizuri.
Kinacho pingwa hapa ni pale mtu wanawake wanapo kosolewa nyinyi mnasema tuache kuwakosoa kwa sababu wao ni wanawake sijui ni mama zetu.
Kaka pesa unatumia kinywaji gani wakati unaendelea kuwakanda upoze koo kwanza 😹😹Jike ni neno linalotumika kutambulisha mnyama. Binadamu mwenye jinsia ya kike anaitwa mwanamke. Ni namna au utaratibu ambao dunia ya binadamu wastaarabu wamejiwekea. Imetoka kwa mababu zetu huko sio kwangu.
Vita ni vita mura. Hata kuingia mtaani na kuita wanawake majike ni vita vya kimaadili dhidi ya mwanamke.
Una tatizo la kushambulia pasipo na uhitaji. Yaani una vita vya hovyo.
Suala la kutetea mwanamke hata ukilipinga halitafutika kwenye jamii ya leo. Huna namna zaidi ya kuikubali hali.
Yaani unachofanya ni kama mwanamke ambaye yupo tayari kwenye mikono ya mwanaume kwa hiari yake, hata kama hataki mimba kama imepenya, hana option zaidi ya kuifurahia.
NA WEWE FURAHI TU MWANAMKE AKITETEWA UNAPOMSHAMBULIA, HUNA NAMNA.
😹😹😹 mbona wewoooooMate Ashura kama Ashura mwenye nyau 😹
Sawa mkuuHili andiko liliandikwa na mwanamume, Angeandika Mwanamke probably story ingekuwa tofauti.. aliyeandika historia hata ya dunia alijipendelea.
Ya”ll narrow minded!
Age shaming ni Moja ya silaha wanazotumia wanawake na simps(watetezi wao) kuwafanyia manipulation wanaume wasiokubaliana na mienendo ya kimfumo jike ambayo jamii yetu inamlazimisha kila mtu aikubali.Sasa ndo watuponde kwa kutuita wavulana ?