Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okayhuwezi jua mpaka uingie kwenye mjadala,
Kwani sinimeweka mada ijadiliwe ?Kwa umri huu wa robo ya karne nisijue chuki na kukosolewa?
Hautaki attention yangu, unataka attention ya wote wanaokujibu.
Go heal!
Inawezekana una uvulana ndani yakoSasa ndo watuponde kwa kutuita wavulana ?
Hutaki kuhonga mwanamke wako, usihonge hakuna atakayekuita mvulana. Unaitwa mvulana ukianza mahubiri ya kiharakati za kupangia wanaume wenzako kuwa pesa zao wasihonge.Ukikataa kuhonga wanawake ovyo ovyo unaitwa "mvulana"
Hutaki kuoa single mother, usioe. Hakuna atakaye kuita mvulana. Ila ukianza mahubiri ya kushambulia single mother wote na kupangia chaguzi za maisha wengine lazima utakutana na mwenye mtazamo tofauti.Ukikataa kuoa single mother, unaitwa "mvulana"
Unataka bikra, OA bikra wapo wamejaa. Ila ukianza kushambulia walioamua kuwapa nafasi wasio na bikra lazima upate changamoto.Ukisema huoi mwanamke asiye bikra unaitwa "mvulana"
Fanya DNA ila epuka micharuko. Zaa na wanawake wenye maadili. Tumia akili kabla ya kugawa mbegu, unazidiwaje akili na mcharuko?Yaani hata ukidai DNA test Kwa mtoto uliyezaa na mwanamke mcharuko unaitwa "mvulana"
Ili usiwe mvulana, Elewa kuwa binadamu hawafanani, usiwaweke wote kwenye chungu kimoja, binadamu anapofanya makosa anastahili nafasi, mwanamke ni binadamu.Sasa hili usiwe "mvulana" itabidi uwe kinyume na hivyo vyote hapo juu.
Ukiishi kwa kufuata matakwa ya mwanamke wewe ni Fala ndio. Tofautisha kufuata matakwa ya mwanamke na kumlinda mwanamke.Kwa ufupi tu hili usiwe mvulana itabidi uwe mwanaume fala fala unayeishi Kwa kufuata matakwa ya wanawake.
Hakuna sehemu yeyote nilipo mshambulia mwanamke.Vizuri.
Sawa, ulisema mwanamke huna chuki nae ila kafanyaje ndo maana unamshambulia?
Ww ni dhaifu sana mbele ya wanawake ndo maana unajiita mama Samia wakati ww ni dume zima.You will be fine bro. Suala lako limekuja kipindi kibaya... tuko bize na uchaguzi wa CHADEMA. Mnyampaa anamshambulia vibaya mno Sultani Mbowe....
Yaani kiufupi ili uwe mwanaume ni lazima uwe bwege.Age shaming ni Moja ya silaha wanazotumia wanawake na simps(watetezi wao) kuwafanyia manipulation wanaume wasiokubaliana na mienendo ya kimfumo jike ambayo jamii yetu inamlazimisha kila mtu aikubali.
Leo hii mwanaume ukisema chochote kisichowafurahisha wanawake unaambiwa wewe Bado ni mtoto hujakuwa.
Ukikataa kuhonga wanawake ovyo ovyo unaitwa "mvulana"
Ukikataa kuoa single mother, unaitwa "mvulana"
Ukisema huoi mwanamke asiye bikra unaitwa "mvulana"
Yaani hata ukidai DNA test Kwa mtoto uliyezaa na mwanamke mcharuko unaitwa "mvulana"
Sasa hili usiwe "mvulana" itabidi uwe kinyume na hivyo vyote hapo juu.
Kwa ufupi tu hili usiwe mvulana itabidi uwe mwanaume fala fala unayeishi Kwa kufuata matakwa ya wanawake.
Umekuja sasa. Tukielewana hapa, basi umemaliza mjadala.Hakuna sehemu yeyote nilipo mshambulia mwanamke.
Bali nina pinga tabia ya wanawake na nyinyi wenye itikadi za kifemenist kutumia jinsia kama kinga pale wanawake wanapo kosolewa.
Hakuna sehemu ulioshambuliwa kwenye comment yangu, Bali nimekupa obvious facts ambayo ninaiona kuhusu wewe.Jike ni neno linalotumika kutambulisha mnyama. Binadamu mwenye jinsia ya kike anaitwa mwanamke. Ni namna au utaratibu ambao dunia ya binadamu wastaarabu wamejiwekea. Imetoka kwa mababu zetu huko sio kwangu.
Vita ni vita mura. Hata kuingia mtaani na kuita wanawake majike ni vita vya kimaadili dhidi ya mwanamke.
Una tatizo la kushambulia pasipo na uhitaji. Yaani una vita vya hovyo.
Suala la kutetea mwanamke unapomshambulia hata ukilipinga halitafutika kwenye jamii ya leo. Huna namna zaidi ya kuikubali hali.
Yaani unachofanya ni kama mwanamke ambaye yupo tayari kwenye mikono ya mwanaume kwa hiari yake, hata kama hataki mimba kama imepenya, hana option zaidi ya kuifurahia.
NA WEWE FURAHI TU MWANAMKE AKITETEWA UNAPOMSHAMBULIA, HUNA NAMNA.
Hakika... maana mleta mada nae ana mamaKumkandamiza mwanamke ni hatua ya mwanzo ya ushetani
Yes uwe msengee msengee ambaye wanawake kwako ni kama malaika kama huyu jamaa tunayechoshana nae hapa kwenye huu Uzi.Yaani kiufupi ili uwe mwanaume ni lazima uwe bwege.
Definition ya mwanaume ni pana. Na si kuponda wanawake wote as if kuna jambo baya wamekufanyia.Kwa hiyo tafsiri ya mwanaume ni kufanya na kuongea mambo yanayo wafurahisha wanawake?
Nimesoma yote mkuu, ila sijaelewa hapo kwenye kingereza. Nina shida kidogo na kingereza.Hakuna sehemu ulioshambuliwa kwenye comment yangu, Bali nimekupa obvious facts ambayo ninaiona kuhusu wewe.
Una akili za kike, una haiba ya kike, kiufupi umeshakuwa kama mwanamke... Kwa comments zako ninazoziona humu ndani, ndio maana Kuna muda Huwa nahisi yawezekana wewe sio WA kiume.
Una tabia ya kureply vitu out of context just to fit your narrative which most of times stems from your deep down desire of serving gynocentric imperative as a glorified pussycat celebrated by feministic woke women.
Kuna siku nilikwambia Hawa unaowatetea ipo siku watakuvalisha sanitary pad wakifikiri wewe ni jike mwenzao, maana Huwa unawatetea mpaka kwenye upumbavu ambao wao wenyewe wanajua fika kabisa chanzo sio mwanaume, ila wewe Kwa ujinga na kujipendekeza kwako Huwa unahamishia lawama Kwa wanaume.
Sikuzuie kutetea wanawake pale panapostahili, ila kutetea wanawake huku ukiwasagia wanaume kunguni hata Kwa makosa ambayo wanawake wenyewe ndio wasababishi huo ni upumbavu na ndio kitu ambacho mara nyingi Huwa unakifanya humu.