Wanaume mnaojifanya watetezi wa Wanawake humu mnakera sana

Hahaha, kwani mkuu wamekunyima utelezi?
 
Mwanamke ni mama yangu amenizaa na kunilea na ninampenda sana, haya tuendelee.
 
Acha kupigana na wanawake. Kama huwapendi kabisa kaa nao mbali ila ukipigana nao kuna watakao inuka kuwatetea hata kama hupendi.

Jitahidi kuheshimu jinsia ya binadamu. Neno Jike linatumika kwa wanyama sio binadamu.
Halafu mara nyingi nyie watetezi wa wanawake wabobezi( chronic simps) Huwa inafika kipindi mnakuwa mkoo too emotional kuliko hata wanawake wenyewe, karibu kila kitu kimlengacho mwanamke ambacho hamjazoea kuona kikitatajwa mnahisi Kiko offensive angalia kama hapa yaani kutamka neno jike limeleta shida.. mjinga sana wewe jamaa.

Na pia kwenye comment yangu hakuna mahali nimeonesha au kuashiria nataka kupigana na wanawake, ni wapi umeona??

Tatizo tayari umeshakuwa na akili za kike na Sasa huna tofauti na binti, maana mabinti ambao wako kwenye adolescence Huwa Wana mihemko sana hata akiulizwa jambo anajibu nje ya muktadha husika..!!

Na kingine sijakuzuia kuwatatetea wanawake, Mimi ni nani nikupangie wewe Cha kufanya? Endelea kuwatetea huku makosa Yao ukiyafanya yaonekane ni makosa ya wanaume kama unavyofanya siku zote.
 
Mwanamke ni mama yangu amenizaa na kunilea na ninampenda sana, haya tuendelee.
Vizuri.
Sawa, ulisema mwanamke huna chuki nae ila kafanyaje ndo maana unamshambulia?
 
You will be fine bro. Suala lako limekuja kipindi kibaya... tuko bize na uchaguzi wa CHADEMA. Mnyampaa anamshambulia vibaya mno Sultani Mbowe....
 
Wewe pinga na washawishi watu wapinge wanaume wanaoonewa ila kuchukia watu kuwatetea wanawake pale ambapo wanaoana wanaonewa, wanakandamizwa au kudharauliwa kimfumo ni wehu na wendawazimu mtupu.
Hakuna sehemu yeyote nilipo sema wasitetewe wakionewa au kukandamizwa ebu soma mada yangu vizuri.
Kinacho pingwa hapa ni pale mtu wanawake wanapo kosolewa nyinyi mnasema tuache kuwakosoa kwa sababu wao ni wanawake sijui ni mama zetu.
Hata Samia kuna kipindi alikuwa anasema eti ana kosolewa kwa sababu yeye ni mwanamke hilo jambo sio sahihi hata kidogo.
 
Jike ni neno linalotumika kutambulisha mnyama. Binadamu mwenye jinsia ya kike anaitwa mwanamke. Ni namna au utaratibu ambao dunia ya binadamu wastaarabu wamejiwekea. Imetoka kwa mababu zetu huko sio kwangu.
Na pia kwenye comment yangu hakuna mahali nimeonesha au kuashiria nataka kupigana na wanawake, ni wapi umeona??
Vita ni vita mura. Hata kuingia mtaani na kuita wanawake majike ni vita vya kimaadili dhidi ya mwanamke.
Tatizo tayari umeshakuwa na akili za kike na Sasa huna tofauti na binti, maana mabinti ambao wako kwenye adolescence Huwa Wana mihemko sana hata akiulizwa jambo anajibu nje ya muktadha husika..!!
Una tatizo la kushambulia pasipo na uhitaji. Yaani una vita vya hovyo.
Na kingine sijakuzuia kuwatatetea wanawake, Mimi ni nani nikupangie wewe Cha kufanya? Endelea kuwatetea huku makosa Yao ukiyafanya yaonekane ni makosa ya wanaume kama unavyofanya siku zote.
Suala la kutetea mwanamke unapomshambulia hata ukilipinga halitafutika kwenye jamii ya leo. Huna namna zaidi ya kuikubali hali.

Yaani unachofanya ni kama mwanamke ambaye yupo tayari kwenye mikono ya mwanaume kwa hiari yake, hata kama hataki mimba kama imepenya, hana option zaidi ya kuifurahia.

NA WEWE FURAHI TU MWANAMKE AKITETEWA UNAPOMSHAMBULIA, HUNA NAMNA.
 
Hakuna sehemu yeyote nilipo sema wasitetewe wakionewa au kukandamizwa ebu soma mada yangu vizuri.
Kinacho pingwa hapa ni pale mtu wanawake wanapo kosolewa nyinyi mnasema tuache kuwakosoa kwa sababu wao ni wanawake sijui ni mama zetu.
Mfano wa jambo gani ambapo wanawake walikoselewa halafu watu wakasema wasikosolewe kwa sababu ni wanawake?
 
Kaka pesa unatumia kinywaji gani wakati unaendelea kuwakanda upoze koo kwanza ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Mbona wewe una wasema vibaya hiyo haki umeitoa wapi? Ni haki hiyo hiyo tunaitumia sisi kuwatetea wanawake Bali kutetea ukweli uliopo pia, umeshindwa kuchagua anayekufaa unawananga wote Kaa utulie upate mtulivu utulie
 
Sasa ndo watuponde kwa kutuita wavulana ?
Age shaming ni Moja ya silaha wanazotumia wanawake na simps(watetezi wao) kuwafanyia manipulation wanaume wasiokubaliana na mienendo ya kimfumo jike ambayo jamii yetu inamlazimisha kila mtu aikubali.

Leo hii mwanaume ukisema chochote kisichowafurahisha wanawake unaambiwa wewe Bado ni mtoto hujakuwa.

Ukikataa kuhonga wanawake ovyo ovyo unaitwa "mvulana"

Ukikataa kuoa single mother, unaitwa "mvulana"

Ukisema huoi mwanamke asiye bikra unaitwa "mvulana"

Yaani hata ukidai DNA test Kwa mtoto uliyezaa na mwanamke mcharuko unaitwa "mvulana"

Sasa hili usiwe "mvulana" itabidi uwe kinyume na hivyo vyote hapo juu.

Kwa ufupi tu hili usiwe mvulana itabidi uwe mwanaume fala fala unayeishi Kwa kufuata matakwa ya wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ