Wanaume mnaowaachia wake zenu Kazi ya kupeleka Watoto kupanda School Vans alfajiri kuweni makini

Uzi bila picha ya hio staili ni uchochezi
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣kuna mda nakuaona mtu mzima alafu baadae unakua kiazi sa maajabu kila nikiona nyuzi zako lazima nizifungue alafu nabaki hoi
 
Bila bodaboda hii list ni batili
 
Wale watu sio, miili yao ina makovu mengi huko chini, hawafai hawatulii hawafugiki.
Ukiwafuga ujue unatumia pesa ndefu sana kumtuliza
kisiwan viktoria tunawaitwa sangara, Hafugiki maana ni predetor wankula samaki wemzao tu(nyama), kwahiyo kumfuga unatakiwa ukavue samaki waengine ulete wakiw hai ndo uwalishe πŸ˜‚
 
"Style ambayo tokea nizaliwe sijawahi Kuiona na hata katika Movies zote 13,700 za Pono nilizozitizama bado Style hiyo haijawahi Kutumika" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™Œ
 
hebu uielezee hiyo staili basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…