Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Hao viumbe ni hatari kuliko chui na simba, ukiwaona kimbia....cc yule jamaa wa Mwanza aliyeamua kumaliza na kujimaliza kabisakisiwan viktoria tunawaitwa sangara, Hafugiki maana ni predetor wankula samaki wemzao tu(nyama), kwahiyo kumfuga unatakiwa ukavue samaki waengine ulete wakiw hai ndo uwalishe 😂