Wanaume mnaowaachia wake zenu Kazi ya kupeleka Watoto kupanda School Vans alfajiri kuweni makini

Thread ya hovyo kabisa, kila kitu unakijua, ww ni nani popoma ww
"Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" GENTAMYCINE

Nionyeshe ni wapi popote pale nilipoanzisha huu Uzi nilikulazimisha Uufungue na Uusome.

Pumbavu.
 
Gogo hata lihifadhiwe wapi, ipo siku litabanduliwa tu ili lichanwe mbao...
 
Mkuu hebu fungua basi hayo mabano ya style na mimi ninufaike nikiwa kama mmojawapo mtajwa ktk hiyo list plz
 
leta kisa ,na eneo uloshuhudia ili tuanze inspections ya mbususu wakirud
 
Utashindwa kuishi kwakuwaza kila siku unaonewa, na ukiwa unafikra za kuibiwaibiwa basi jua wewe pia ni mwizi ndio maana kila kukicha unawaza kuibiwa. Lawama na tahadhari zimezidi, ukiona mahusiano au ndoa hutaiweza achana nayo naacha kuiponda we sepa tu kimyamya. Msifanye maisha yawe magumu hibyo, uchumi unavyotukamia unatosha hizo hisia zinaisha tu. Tuishi kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka nikiwa mdogo kuna bus driver wa shule niliyosoma alikua anamtongoza mama wa rafiki yangu mmoja, tulikua tukifikia kwenye kituo chao, yule dreva na yule mama walikua wanachekeana, siku moja walibadilishana namba kabisa.... [emoji23]
Hiyo ndiyo inaitwa kutongoza! Ila kumbuka pia kupewa no si kupewa k, maana unaweza pewa no na k ukanyimwa! Haya Mambo ni ablaa kadablaa!!
 
Hii Thread 🧵 bila Video ni Useless
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…