Wanaume mnaowaachia wake zenu Kazi ya kupeleka Watoto kupanda School Vans alfajiri kuweni makini

Unaweza ukaamka wewe kupeleka mtoto shule demu wako akabanduliwa na jirani yako. Nadhani shida hapa sio mwanaume kumuachia mkewe kupeleka mtoto shule alfajiri bali shida ni mwanamke kuwa na tabia ya kuligawa. Mwanamke hajiheshimu.
 
Daah...pic ama video ya hiyo style najua huwezi weka hapa kamanda.....basi tupe maelezo kidogo tu kamanda...mengine yatafahamika hapo hapo field.

Papuchi zipo kwa ajili yetu.....tembeza mbokoo tuu.
#Usipo winda..,utawindwa.#
 
Post haiendi bila kapicha kidogo
 
Stail yenyew
 
Hahahah subiri tukuvue hicho kidigiriii feki
Feki kingekuwa Kinaogopwa na Intellectuals wengi hadi Wengi wanahisi kwa GENTAMYCINE nilivyo na Madini mengi Kichwani na Maarifa Tukuka ya Masuala Mtambuka nina Masters Degree au Doctorate wakati kumbe ninamiliki Degree yangu Moja tu ya SAUT Mwanza ya mwaka 2009.
 
Wewe huna madini yoyote yale, chuo gani mnakalia viti vya shule ya msingi?
 
Wewe huna madini yoyote yale, chuo gani mnakalia viti vya shule ya msingi?
Naona Hasira zako za kutokuwa Admitted SAUT Mwanza kutokana na Upumbavu na Uwendawazimu unaoumiliki 247 umekufanya ukichukie SAUT Mwanza na Sisi tuliosoma hapo.

Hovyoooooooo.....!!!!!!
 
Naona Hasira zako za kutokuwa Admitted SAUT Mwanza kutokana na Upumbavu na Uwendawazimu unaoumiliki 247 umekufanya ukichukie SAUT Mwanza na Sisi tuliosoma hapo.

Hovyoooooooo.....!!!!!!
Yaani niache vyuo vyote nikasome madarasa ya chekechea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…