Wanaume mtujibu

Tunawaheshimu sana wanawake. Lakini kila nikitafakari ujasiri wa mwanamke kupiga stori na Ibilisi live pale bustani ya Edeni, bila hofu na kuwa chanzo cha madhira makubwa tunayopitia kwa sasa kwenye dunia hii.
Hata sasa bado mnapiga stori na shetani na hatimaye kutushawishi na sisi tufuate mliokubaliana/kudaganywa na shetani.
Inasikitisha sana.😪😢😥
 
Hizo ni story tu bhana
 
Shida tumechanganywa na tuliyo kopi na kuyaishi sasa shida kuu kurudi kwenye nafasi halisi... Inspiration na matamanio yamekuwa meengi ila Discipline zero....Anguko++
#Nawaonaga Kama Magaidi☢️
 
Binafsi nawaona wanawake Ni watu muhimu Sana duniani ila huwa nashangazwa na tabia zao za kishenzi
Ni muhimu mnooo sema ndo vile tena ni wao pekee walifanikiwa kupiga story na nyoka sijui aliwaambia mambo gani kuhusu sisi, nyoka mshenzi yule...
 
Mmetuzaa na mmetulea?Wangapi?Mimi mimezaliwa na mama mmoja tu.Ninyi wengine ni "mandugu digitals" tu.
 
Wanawake hamnazo, mtu anakujaje "kukutongoza" anakupiga saundi, fiksi kibao unamkubalia na unampa kibumbu yani unashindwa kujua unapigwa saundi. Hapo tuu ndo nawaonaga akili kisoda.
N:B: Nj mama zetu ila ndo hivyo.
 
Unakuta jimama likubwa unalipiga "saundi" za kitoto linakubali afu linakuamini kinoma😂
 
Nimezaliwa na mwanamke' sio wanawake
 
Mama zetu my foot? Kwani baba yako ni mwanamke pia?
 
Tabia gani tena jamani,tunawapa tamu,tunawapikia,kuwafulia na kuwapa uzao wenu tena mzuri...mwee
Sema tunapeana utamu..yaani mwanaume ndiyo huwa anaonekana ana uhitaji sana wa sex lakini ki uhalisia mwanamke ndiyo ana enjoy zaidi kuliko mwanaume.
Mwanamke anaweza akatoka na multiple orgasm na ana sehemu nyingi sana za mwili ku stimulate kuliko mwanaume.
Ila wanawake mnaona sisi ndiyo mnatupa Utamu kuliko sisi tunao wapa na hii ni dalili moja inayo fanya niwaone wanawake ni watu wabinafsi sana na nawachukulia hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…