Sasa hapo naona Kuna ndoa ya shirikisho. Na lazima Kuna mmoja wenu ni bwege. Unawezaje kupokea simu toka kwa mwanaume niliyemzalisha mkeo🤣🤣.Mimi nimezaa na mdada mmoja ambae kwa sasa kaolewa na anaishi na mwanangu na huyo mumewe,hivyo mawasiliano yangu yote kuhusu malezi ya mtoto huyo hupitia kwa mumewe,na kama kuna siku nataka kumuona mtoto namuatifi mumewe ambae ndio atamjulisha huyo mzazi mwenzangu ambae ni mkewe.Sina mawasiliano na huyo mzazi mwenzangu ya moja kwa moja
Watu hupenda kusikia mambo mabaya sana maishani.Mpaka nasisimka vile unamuelezea huyu baba.
Hizi familia mbili zimebarikiwa, Mungu adumishe upendo na uelewa wenu pamoja!
Nimewapenda kiukweli
Hakuna mwanaume bwege kama tunavyowaza mambo huja na wakati.Sasa hapo naona Kuna ndoa ya shirikisho. Na lazima Kuna mmoja wenu ni bwege. Unawezaje kupokea simu toka kwa mwanaume niliyemzalisha mkeo🤣🤣.
mwanaume aliyezaa na mkeo kabla wewe hujamuoa sio adui yakoSasa hapo naona Kuna ndoa ya shirikisho. Na lazima Kuna mmoja wenu ni bwege. Unawezaje kupokea simu toka kwa mwanaume niliyemzalisha mkeo🤣🤣.
Uko sahihi sana,mwanaume aliyezaa na mkeo kabla wewe hujamuoa sio adui yako
Ni ngumu yes, lakini wote wameamua kuvuka huo mstari na wako sawa!Sasa hapo naona Kuna ndoa ya shirikisho. Na lazima Kuna mmoja wenu ni bwege. Unawezaje kupokea simu toka kwa mwanaume niliyemzalisha mkeo🤣🤣.
Mtoto zaa mke wako, huyo waachie. Wewe angekuwa mkeo amekuja na mtoto ungepokea simu ya baba yake?Mimi nimezaa na mdada mmoja ambae kwa sasa kaolewa na anaishi na mwanangu na huyo mumewe,hivyo mawasiliano yangu yote kuhusu malezi ya mtoto huyo hupitia kwa mumewe,na kama kuna siku nataka kumuona mtoto namuatifi mumewe ambae ndio atamjulisha huyo mzazi mwenzangu ambae ni mkewe.Sina mawasiliano na huyo mzazi mwenzangu ya moja kwa moja
maisha mafupi sana kiukweli.Hakuna mwanaume bwege kama tunavyowaza mambo huja na wakati.
Huyo jamaa anapata wasaa mzuri sana wa kujua aliyemuoa.
Maisha mafupi haya..vinyongo vya nini??
Ukiwa na mawe ukawa busy..kuna vitu havisumbui akili hasa mapenzi..labda uwe unajifunza ukubwani mchana
Huo ni ukweli mchungu sio ghadhabu.MKUU mbona kama una ghadhabu sana kuna Nini?
shida hata hujui unaongea nini kuhusu niniMtoto zaa mke wako, huyo waachie. Wewe angekuwa mkeo amekuja na mtoto ungepokea simu ya baba yake?
shukranimaisha mafupi sana kiukweli.
Hakuna sababu ya kuwekeana hila na mtu hana hila nawe!
aliye nazo, unampisha tu!
Wanadamu wema wapo, wanadamu wasio na hila mioyoni wapo na wanapokutana kwenye issue moja ndo huwa hivi.
Kesi ya mipaka kwa mfano, hutegemea mmepakana watu wa aina gani, mimi kiukweli ninawapongeza hawa wanaume wawili!
natizama vile mtoto alivyo lucky!
Ana watu wanne kwenye maisha yake ambao ana uhakika yuko safe!
EeehNimezaa na wawili wote wameolewa na huwa tunawasiliana kila wakiwa na shida ya matumizi ya watoto. Kuna wakati tukipata muda huwa nawakaza tu. Maana najua hata wangu atakuwa anakazwa tu. Wala sijivungi wakinihitaji na nikiwa na muda...
Shemmm, 😆😆🤣🤣🤣🤣🤣 unachokitafuta, utakipata.
Hahaha Record ManNikiona mwanaume ana tumia hio kauli namshangaa sana kauli imekaa kianamke kabsa afu kinyonge sanaa .utavalishwa dela wewe
Mara zote mpumbavu huwa,anawaona watu wote wanaomzunguka ni wapumbavuSingle maza asilimia 98 wapumbavu
MmmhSingle maza asilimia 98 wapumbavu
MmhMara zote mpumbavu huwa,anawaona watu wote wanaomzunguka ni wapumbavu