Wanaume: Munatumia njia gani kuwasiliana pengine hata kukutana na mzazi mwenzio aliyeolewa?

Mimi nimezaa na mdada mmoja ambae kwa sasa kaolewa na anaishi na mwanangu na huyo mumewe,hivyo mawasiliano yangu yote kuhusu malezi ya mtoto huyo hupitia kwa mumewe,na kama kuna siku nataka kumuona mtoto namuatifi mumewe ambae ndio atamjulisha huyo mzazi mwenzangu ambae ni mkewe.Sina mawasiliano na huyo mzazi mwenzangu ya moja kwa moja
Sasa hapo naona Kuna ndoa ya shirikisho. Na lazima Kuna mmoja wenu ni bwege. Unawezaje kupokea simu toka kwa mwanaume niliyemzalisha mkeo🤣🤣.
 
Mpaka nasisimka vile unamuelezea huyu baba.
Hizi familia mbili zimebarikiwa, Mungu adumishe upendo na uelewa wenu pamoja!
Nimewapenda kiukweli
Watu hupenda kusikia mambo mabaya sana maishani.

Kuna watu wapo tofauti sana tena wachache..hao ndio ukijichanganya unaenda na maji mchana kweupe.

Watu wameshapitia mateso makali sana maishani wanaamua kutulia tuli kama maji kwenye Mtungi.

Watu smart kichwani wapo ni kukutana nao tu.
 
Sasa hapo naona Kuna ndoa ya shirikisho. Na lazima Kuna mmoja wenu ni bwege. Unawezaje kupokea simu toka kwa mwanaume niliyemzalisha mkeo🤣🤣.
Hakuna mwanaume bwege kama tunavyowaza mambo huja na wakati.
Huyo jamaa anapata wasaa mzuri sana wa kujua aliyemuoa.

Maisha mafupi haya..vinyongo vya nini??
Ukiwa na mawe ukawa busy..kuna vitu havisumbui akili hasa mapenzi..labda uwe unajifunza ukubwani mchana
 
mwanaume aliyezaa na mkeo kabla wewe hujamuoa sio adui yako
Uko sahihi sana,
Pengine tuna mawazo na maono tofauti.
Lakini ukweli unabaki pale pale.

uliyezaa naye tayari una mafungamano naye ya kimwili na kiroho.(kuna mtu atakuja kukua elimu zaidi kwenye hili)
Ukiweza kaaa mbali na aliye na mtoto ndio salama yako.
 
Sasa hapo naona Kuna ndoa ya shirikisho. Na lazima Kuna mmoja wenu ni bwege. Unawezaje kupokea simu toka kwa mwanaume niliyemzalisha mkeo🤣🤣.
Ni ngumu yes, lakini wote wameamua kuvuka huo mstari na wako sawa!
 
Mimi nimezaa na mdada mmoja ambae kwa sasa kaolewa na anaishi na mwanangu na huyo mumewe,hivyo mawasiliano yangu yote kuhusu malezi ya mtoto huyo hupitia kwa mumewe,na kama kuna siku nataka kumuona mtoto namuatifi mumewe ambae ndio atamjulisha huyo mzazi mwenzangu ambae ni mkewe.Sina mawasiliano na huyo mzazi mwenzangu ya moja kwa moja
Mtoto zaa mke wako, huyo waachie. Wewe angekuwa mkeo amekuja na mtoto ungepokea simu ya baba yake?
 
Hakuna mwanaume bwege kama tunavyowaza mambo huja na wakati.
Huyo jamaa anapata wasaa mzuri sana wa kujua aliyemuoa.

Maisha mafupi haya..vinyongo vya nini??
Ukiwa na mawe ukawa busy..kuna vitu havisumbui akili hasa mapenzi..labda uwe unajifunza ukubwani mchana
maisha mafupi sana kiukweli.
Hakuna sababu ya kuwekeana hila na mtu hana hila nawe!
aliye nazo, unampisha tu!
Wanadamu wema wapo, wanadamu wasio na hila mioyoni wapo na wanapokutana kwenye issue moja ndo huwa hivi.
Kesi ya mipaka kwa mfano, hutegemea mmepakana watu wa aina gani, mimi kiukweli ninawapongeza hawa wanaume wawili!
natizama vile mtoto alivyo lucky!
Ana watu wanne kwenye maisha yake ambao ana uhakika yuko safe!
 
shukrani
 
Nimezaa na wawili wote wameolewa na huwa tunawasiliana kila wakiwa na shida ya matumizi ya watoto. Kuna wakati tukipata muda huwa nawakaza tu. Maana najua hata wangu atakuwa anakazwa tu. Wala sijivungi wakinihitaji na nikiwa na muda...
Eeeh
 
Umeona kanona sasa unatafuta mbinu za kupasha kiporo, bro tuliza mshono mwanaume mwenzio si anamlea wewe shida nini?? Akikua atakutafuta acheni uharibifu wa ndoa za watu.!!
 
Back
Top Bottom