Kipindi unasex na Bibie ulikuwa na umri gani?
Sexy siku zote inamatokeo yake...
1. Kusababisha mimba au kupata mimba.
2. Kusambaza magojwa.
Kwa maelezo yako inaonekana hukujali hata kuhusu swala ya afya yako. (HIV, hepatitis, Herpes viruses n.k).
Kama hukujali mimba inamaana hata hayo magonjwa hukujali kama unaweza PATA.
Hakuna mimba ya bahati mbaya au kutopanga. Naamini ulikuwa mtu mzima kipindi mnapeana mimba hiyo. Unajua kuwa sexy bila tahadhali Nini kinatokea , SI unajua Hilo??????
Au hujui??????
Sema tu mliamua kuzaa tuu. Your matured enough mkuu.
Sio kwamba ulikuwa hujitambui mkuu.