Japkas
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 3,011
- 4,617
Hivyo kwa vyovyote vile Bill anagawana mali na mkewe kiroho safi. Hata hivyo Melinda kuwa na akili au kutoka familia ya kitajiri haimaanishi Bwana Bill hakuwa safi kichwani vinginevyo hata jina lake lisingekuwepo kwenye ramani ya dunia maana angekuwa Marioo kama wa kibongoMhh Melinda ametoka kwenye familia nzuri sana baba ake ni millionaire ,Bill gates yeye ndio alikuwa mtoto wa mlala hoi .Melinda ali kuwa Victorian student( Victorian ni mtu mwenye Akili saaana ) .Steve job na Melinda walikuwa wote Wakati wa apple .Melinda akamtosa Steve Jobs akaanzisha kampuni ya Microsoft na bill gates .Melinda anaakili zaidi ya Bill gates .Level ya Akili ya Melinda ni level nyingine .So Melinda yeye ni mwanzilishi wa Microsoft