Wanaume muwe waaminifu na ndoa sio kombolela. Angalieni mtaachwa uzeeni na Wamama hatuzeeki

Wanaume muwe waaminifu na ndoa sio kombolela. Angalieni mtaachwa uzeeni na Wamama hatuzeeki

kumekucha !

ila nawashauri wanaume wajenge maisha yao ya baadae
manake mwisho wa siku hao wanaowahangaikia 85% hawana shukurani including mke na watoto
Well said maana apo unakuta watoto wapo upande wa mama wanamuona Baba Yao kama mkosaji mkubwa wanaume tujiwekee akiba zetu hawa watoto na mke aisee watakuliza sana ukiwekeza kwao
 
Kumekucha Salama
Tuchape Kazi Ndugu Zangu
Tanzania Ni Tajiri [emoji485]
JPM
Hakika mkuu!!!

Hahah nimejikuta nacheka,mnyarugusu mmoja ameamka akachungulia kwenye acc yake kaona kidogo kuna masurufu na hivi mshahara ameingiziwa juzi tu anajikuta naye mzungu,wewe una nini cha kumsumbua mwanaume?eti wanawake tuna hela,una bei gani wewe hadi ujiite “SISI” kwamba mpo bot moja na melinda!

Hovyo kabisa!
 
Well said maana apo unakuta watoto wapo upande wa mama wanamuona Baba Yao kama mkosaji mkubwa wanaume tujiwekee akiba zetu hawa watoto na mke aisee watakuliza sana ukiwekeza kwao
100%
 
Loser!

Kama nakutana na partner kama wewe kwenye harakati zangu nikajua ulikuwa unafuata mali zangu na ukanichezea akili tugawane nitakugaia ila ndani ya miezi sita utakuwa chini kwenye foot 6 huku mali zikirudi kwa wanangu kwa mlango wa nyuma!

Jaribu hii Africa uone,ila siyo kosa lako kosa ni baba yako kukulea ktk hali ya umaskini wake kiasi unataka kua-dobt tabia za kizungu kwenye uafrika wako,ukisoma mwanzo wa unaoshangilia kuachana kwao hapa utakuta melinda alipoajiriwa microsoft huko 80s na baada ya kutamkiana mapenzi aliwekeza zaidi akili yake pale sasa mianaake mingi mbumbumbu ya Kiafrica kama wewe hutaka kuolewa na waliokwisha fanikiwa hakika ujinga huu ukiuleta hapa hiyo shingo iliyoshikilia kichwa kilichovaa wig itagawanywa!
 
Hivi zile chanjo zake hazijaweza kuinusuru ndoa yake , malipo ni hapahapa yaani yeye alitegemea kuua wenzake dunuiani na yeye abaki salama?
 
Ndoa ni kazi isiyo na mshahara lazima uifanyie kazi ndoa yako .Siku hizi wanawake hawataki pesa zenu tupo juu sana .Heshima muweke mbele mtaachwa .Mzee gates ameachwa document zinaonyesha Hivyo .So wanaume muanze kupika ,piga deki na kufua nguo .wanawake tupo juu Sana,habari ndio hiyo .

View attachment 1772640
Hii ya wamama hamzeeki ndio naisikia leo kwako kwa mara ya kwanza.....

Utabiri
_______
Wewe upo kwenye ndoa chungu au umeachwa kwa ajili ya tabia zako mbaya.

Nb.mali/Pesa hazileti furaha kila wakati...furaha kamili ina combination ya mambo mengi , pesa na mali ikiwa ndani yake.
At least Bill akili za kimungu zitamrudia sasa.
 
Loser!

Kama nakutana na partner kama wewe kwenye harakati zangu nikajua ulikuwa unafuata mali zangu na ukanichezea akili tugawane nitakugaia ila ndani ya miezi sita utakuwa chini kwenye foot 6 huku mali zikirudi kwa wanangu kwa mlango wa nyuma!

Jaribu hii Africa uone,ila siyo kosa lako kosa ni baba yako kukulea ktk hali ya umaskini wake kiasi unataka kua-dobt tabia za kizungu kwenye uafrika wako,ukisoma mwanzo wa unaoshangilia kuachana kwao hapa utakuta melinda alipoajiriwa microsoft huko 80s na baada ya kutamkiana mapenzi aliwekeza zaidi akili yake pale sasa mianaake mingi ya Kiafrica hutaka kuolewa na waliokwisha fanikiwa hakika ujinga huu ukiuleta hapa hiyo shingo iliyoshikilia kichwa kilichovaa wig itagawanywa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]inatosha mkuu,utamuua
 
Bill gates is too ugly and creepy .it’s time kwa melinda kupata Mwanaume wa ukweli .
Uzuri mwanamke mwenyewe alikuta Bill tayari ana microsoft yake huyo maza alikua kijakazi kwny hio Co. kabla hajamuoa na huyo maza alishasainishwa prenup mwaka 1994.

Pole sana Joyce Kiria


Haya Gates nenda katembeze pumbu huko mtaani uwape maisha na wanawake wengine huko duniani.7
 
Ukishaanza kuiona ndoa kama ajira hata kama hulipwi ipo siku utaivunja ili upate malipo ya kazi yako.

Nafikiri tuanze kuwatumikisha ipasavyo ili mgawanyo uende kihalali hapo baadae.

By the way hakuna sayansi inayosema mwanaume ndio huwa kifaa chake huwa kinagoma akifika uzeeni. Labda awe na matatizo mengine. Wanaume tumepewa everlasting gift mpata tufe.
Kabisa
 
Hakuna kitu Mungu anakiangalia kwa jicho la tofauti kama Familia. Familia ndio sehemu pekee ambapo mtu bora hutengenezwa na kupata malezi na maadili bora kabisa.
Kama ambavyo watu wanatangaza vitu mbalimbali kupitia watu maarufu vivyohivyo wanatangaza mifano ya kupeana talaka kupitia watu matajiri ili hata mtu wa kawaida asiefikiri vizuri akitaka kuachana na mkewe au mumewe akiwaza hata akina Reginard Mengi, Bezos au Billgate waliowahi kuachana wakiwa matajiri ili apate pa kujilinganisha. Binafsi naona hivyo.

Ni kweli ndoa zinachangamoto zake lakini suluhu sio kuachana, fikiria watoto wenu mnaowaacha wanapata kujifunza kitu gani?.
Baadhi yetu hapa tumefika tulipo kwa sababu ya misingi imara tuliyojengewa ndani ya familia zetu, Baba na Mama walikula kiapo cha Ndoa na wakaja kuamua iwe Mvua iwe Jua hawaachani. Waliiona Ndoa ni taasisi bora na muhimu kuliko wao wenyewe na tatizo kubwa huanza pale ambapo wanandoa wanajiona wao binafsi ni bora kuliko ndoa zao.

Binafsi naamini nikishindwa kuisimamia ndoa na familia yangu hata nikiwa na pesa kiasi gani nitakuwa nimefeli.
Zinapoelekea ndoa ndio inapoelekea jamii na inapoelekea jamii ndipo linapoekea Taifa. Familia zikiharibika jamii husika nayo itaharibika na hatimaye Taifa litaharibika!

Mmomonyoko wa maadili uliopo sasa nchini, chanzo chake kimetokana na malezi mabovu toka kwa sisi wazazi. Kuna kitu cha kujifunza toka kwa Billgate na Mkewe, fedha kumbe haiwezi kukupa kilakitu.
 
Wanawake siku hizi unakuta yupo desperate kutafuta mume huku tayari wana "Exit plan".

Nonsense sasa si usiolewe.
 
Back
Top Bottom