atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Huyu anaweza akawa Joyce Kiria mwanamke mjinga sana huyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We anakuhusu nini mtu mwenyewe unaishi kwa chini ya dola moja kwa siku, kwahiyo we unamsujudu kwakuwa ana hela nenda basi akakuoe weweMa alkaida naona mmeshaanza kuja na propaganda zenu uchwara
Hivi melinda ana uzuri gani au ushabiki tuBill gates is too ugly and creepy .it’s time kwa melinda kupata Mwanaume wa ukweli .
My brother nagonga like, men we are born to hustle sasa ya nini tuwe na wasiwasi mwanamke anapodai mali mgao, mali tutakufa tutaziacha, zikipotea tutazitafuta tena kwanza Mungu atazidi kubariki zaidi, na isitoshe mwanamke unaemuachia amezaa nawe ni watoto pia watafaidi, namshangaa sana mleta mada kushadadia kwa mwanaume kufirisika shamefulWanaume wa siku hizi hatujali. Tunakugawia kiroho safi maisha yanaendelea kama kawaida. Unatafuta kabinti kabichi pisi kali nako kaje kafaidi mali ili ukizeeka uwe umeacha Legacy ya wa kuwatoa watu kwenye umaskini.
Mali zenyewe nyingi hivyo hata ukifa bado watafaidi watu. Kwa nini usiwaachie mapema kiroho safi akiwemo uliyeishi naye muda mrefu?
Yani wewe jamaa ni moja watu very gentleman only if its true unaishi kwenye maanidishi haya uliyoandika hapa , upo vizuri sana kama upo positive hivi wewe Mungu atakubariki sana, umeongea vyema sana i wish most of men wachukue ushauri wako watafaidika sana, naongea hivi kwa kuwa napenda sana kuona mwanaume kuwaza kiujasiri hiviWanaume wa siku hizi hatujali. Tunakugawia kiroho safi maisha yanaendelea kama kawaida. Unatafuta kabinti kabichi pisi kali nako kaje kafaidi mali ili ukizeeka uwe umeacha Legacy ya wa kuwatoa watu kwenye umaskini.
Mali zenyewe nyingi hivyo hata ukifa bado watafaidi watu. Kwa nini usiwaachie mapema kiroho safi akiwemo uliyeishi naye muda mrefu?
Wewe bwege una maswali ya kukera, Mkuu umenichekesha sana!!Umetumia mizani gani ya kupima akili za hao watu!!??
au umetumia hii ya kupimia nyama
Wewe una Ukichaa, Karudie kusoma Historia... Hakuna Mtu anaitwa Melinda kwenye Historia ya Microsoft.Mhh Melinda ametoka kwenye familia nzuri sana baba ake ni millionaire ,Bill gates yeye ndio alikuwa mtoto wa mlala hoi .Melinda ali kuwa Victorian student( Victorian ni mtu mwenye Akili saaana ) .
Steve job na Melinda walikuwa wote Wakati wa apple .Melinda akamtosa Steve Jobs akaanzisha kampuni ya Microsoft na bill gates .
Melinda anaakili zaidi ya Bill gates .Level ya Akili ya Melinda ni level nyingine .So Melinda yeye ni mwanzilishi wa Microsoft
Nan amekwambia mm namsujudu,acha mawazi mgando ww pan'gan'gaa,mnapinga teknolojia ya mzungu ili hali hapa unanijibu kwa kutumia teknolojia ya mzungu,madawa yenyewe mnaletewa na hao hao wazungu pan'gan'gaa weweWe anakuhusu nini mtu mwenyewe unaishi kwa chini ya dola moja kwa siku, kwahiyo we unamsujudu kwakuwa ana hela nenda basi akakuoe wewe
milionea aache kua rihana aje huyo kibwengo?Kim kardashian alikuwa millionaire kabla ya Huyo kichaa
AAaaaaa kweli hiyo?: Mbona search inaonyesha Founder ni Paul Allen na Billy Gates chini ya CEO: Satya NadellaMhh Melinda ametoka kwenye familia nzuri sana baba ake ni millionaire ,Bill gates yeye ndio alikuwa mtoto wa mlala hoi .Melinda ali kuwa Victorian student( Victorian ni mtu mwenye Akili saaana ) .
Steve job na Melinda walikuwa wote Wakati wa apple .Melinda akamtosa Steve Jobs akaanzisha kampuni ya Microsoft na bill gates .
Melinda anaakili zaidi ya Bill gates .Level ya Akili ya Melinda ni level nyingine .So Melinda yeye ni mwanzilishi wa Microsoft
Ni Hela kiasi gani inayohitajika kumfanya mwanamke asikusumbue?Hata kwa waafrika katika kizazi hiki.Wanaume watafute hela mwanamke hata ukimgo... vp kama huna hela imekula kwako.
Na mwanamke utayempata halafu akadai talaka ikatakiwa mgawane mali pasu kwa pasu from that day "you will no longer be a man" wao wanaita "mwanaume suruali"Huyo ashagundua Bill Gates anatoka na Binti kama Priyanka Chopra yupo mjini Mumbai kwenye penthouse apartment moja kali down town. Sasa mama ukiangalia kila kitu ndiyo kwishney (So sorry for saying that).
My point is, ukiwa na fedha, halafu ni mwanaume. Kwa dunia hii "You are the man", huo ndiyo ukweli. Mmeshika makali.
Sababu ni kwamba Walienda Tanga Mapenzi yalikozaliwa, Mzee Gates kashindwa kuvumilia huenda Kampata Mwajuma Ndala ndefu wa Kibanda Maiti Muheza TangaNdoa ni kazi isiyo na mshahara lazima uifanyie kazi ndoa yako .Siku hizi wanawake hawataki pesa zenu tupo juu sana .Heshima muweke mbele mtaachwa .Mzee gates ameachwa document zinaonyesha Hivyo .So wanaume muanze kupika ,piga deki na kufua nguo .wanawake tupo juu Sana,habari ndio hiyo .
View attachment 1772640
Too ugly ukim-compare na nani?Bill gates is too ugly and creepy .it’s time kwa melinda kupata Mwanaume wa ukweli .
Sina utajiri ila nilipokuwa najenga kakibanda kangu nilimkabidhi wife na watoto kuwa nyumba yake na watoto. Hata ikitokea tukiachana ni mali yake sitadai chochote ntasonga mbele na maisha mengine.Yani wewe jamaa ni moja watu very gentleman only if its true unaishi kwenye maanidishi haya uliyoandika hapa , upo vizuri sana kama upo positive hivi wewe Mungu atakubariki sana, umeongea vyema sana i wish most of men wachukue ushauri wako watafaidika sana, naongea hivi kwa kuwa napenda sana kuona mwanaume kuwaza kiujasiri hivi
Umenena vema. Tusiumize vichwa sana. Provided una brain na nguvu songa mbele na maisha mengine kiroho safi.My brother nagonga like, men we are born to hustle sasa ya nini tuwe na wasiwasi mwanamke anapodai mali mgao, mali tutakufa tutaziacha, zikipotea tutazitafuta tena kwanza Mungu atazidi kubariki zaidi, na isitoshe mwanamke unaemuachia amezaa nawe ni watoto pia watafaidi, namshangaa sana mleta mada kushadadia kwa mwanaume kufirisika shameful
Nilikuwa najiuliza Bill gates hana prenup? Dunia hii wanawake hawa kama mleta mada unaanzaje kuruka bila parachute!Uzuri mwanamke mwenyewe alikuta Bill tayari ana microsoft yake huyo maza alikua kijakazi kwny hio Co. kabla hajamuoa na huyo maza alishasainishwa prenup mwaka 1994.
Pole sana Joyce Kiria
Haya Gates nenda katembeze pumbu huko mtaani uwape maisha na wanawake wengine huko duniani.7
tuonyeshe na mali alizobaki nazo mzee gates.mali anazoondoka nazo melinda
View attachment 1772648
View attachment 1772649
View attachment 1772650
View attachment 1772651