Wanaume muwe waaminifu na ndoa sio kombolela. Angalieni mtaachwa uzeeni na Wamama hatuzeeki

Muke ya MUZUNGU. Vipi na wewe lini unamdivorce mzungu wako mgawane pasu kwa pasu?
Ndoa ni kazi isiyo na mshahara lazima uifanyie kazi ndoa yako .Siku hizi wanawake hawataki pesa zenu tupo juu sana .Heshima muweke mbele mtaachwa .Mzee gates ameachwa document zinaonyesha Hivyo .So wanaume muanze kupika ,piga deki na kufua nguo .wanawake tupo juu Sana,habari ndio hiyo .

View attachment 1772640
 
Nachojua mimi wanawake wa kizungu wengi ni gold diggers,wana mapenzi ya pesa,target zao zikishatimia wanaanzisha chokochoko za kuachana,mwangalie kim kardashian nae hivyohvyo,yaani hawa ni wa kuzalisha bila ndoa we unabaki kulea watoto tu,over
Ukiniacha na mihela yote ile tatizo liko wapi....mwanaume hazeekagi
 
Hata kwa waafrika katika kizazi hiki.Wanaume watafute hela mwanamke hata ukimgo... vp kama huna hela imekula kwako.
Kwa nini haswa unafikiri wanaume ndio wanaotengeneza pesa Jamani
 
Muke ya MUZUNGU. Vipi na wewe lini unamdivorce mzungu wako mgawane pasu kwa pasu?
15 years kwenye ndoa very strong mambo ya tantric .Haendi popote
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Mhh Melinda ametoka kwenye familia nzuri sana baba ake ni millionaire ,Bill gates yeye ndio alikuwa mtoto wa mlala hoi .Melinda ali kuwa Victorian student( Victorian ni mtu mwenye Akili saaana ) .

Steve job na Melinda walikuwa wote Wakati wa apple .Melinda akamtosa Steve Jobs akaanzisha kampuni ya Microsoft na bill gates .

Melinda anaakili zaidi ya Bill gates .Level ya Akili ya Melinda ni level nyingine .So Melinda yeye ni mwanzilishi wa Microsoft
Angalia Wikipedia yake Melinda bwana .Melinda mwanamke wa Shaka suzyo Hillary ambae anaibiwa live

97BEEE34-B8F8-46E6-986E-F8C8A505536E.jpeg

C143FAFC-9678-4506-9A97-B9A387F5FEE8.jpeg
 
Huyu bwege kafurahia mali akili za kimaskini hizi! Melinda anaachana sababu ya furaha kuisha au sababu ya misuguano ya kihisia! We unachekelea nyumba hizo sio ishu kwa wenzetu wala haiwezi mpunguzia chochote bill Gates mzee wa kuku [emoji23][emoji23][emoji23]!

Kugawana mali kunatutesaga sisi tu ambao kuna kajumba kamoja tulikojenga kwa kula dagaa miaka mitatu na kulipa mkopo benki! Sasa jamaa hela iliopo bank anaweza nunua huo mtaa upya na wala asiyumbe unahisi kuna kitu atapungukiwa pole sana!
Hapo mzee wa kuku kitaani enzi zile tunakua bhana tulikuwa tunahadithia "nataka kuwa kama billgeti mzee wa kuku"[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Huyu bwege kafurahia mali akili za kimaskini hizi! Melinda anaachana sababu ya furaha kuisha au sababu ya misuguano ya kihisia! We unachekelea nyumba hizo sio ishu kwa wenzetu wala haiwezi mpunguzia chochote bill Gates mzee wa kuku [emoji23][emoji23][emoji23]!

Kugawana mali kunatutesaga sisi tu ambao kuna kajumba kamoja tulikojenga kwa kula dagaa miaka mitatu na kulipa mkopo benki! Sasa jamaa hela iliopo bank anaweza nunua huo mtaa upya na wala asiyumbe unahisi kuna kitu atapungukiwa pole sana!
Jamaa aweza mpata hela nusu ya hela na aka bounce back

Yule Ni legendary investor hawezi fuliaNi mwanafunzi wa Warren buffet alieiva sawa sawa

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Bill gates is too ugly and creepy .it’s time kwa melinda kupata Mwanaume wa ukweli .
Mwanaume wa kweli yupi

Body builder

Au mwenye mifedha [emoji1787][emoji1787]

Kwakweli mwanamke Ni kiumbe kisichoeleweka ni Kama virus hivi [emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Nachojua mimi wanawake wa kizungu wengi ni gold diggers,wana mapenzi ya pesa,target zao zikishatimia wanaanzisha chokochoko za kuachana,mwangalie kim kardashian nae hivyohvyo,yaani hawa ni wa kuzalisha bila ndoa we unabaki kulea watoto tu,over
Kama Chriss Breezy
 
Mhh Melinda ametoka kwenye familia nzuri sana baba ake ni millionaire ,Bill gates yeye ndio alikuwa mtoto wa mlala hoi .Melinda ali kuwa Victorian student( Victorian ni mtu mwenye Akili saaana ) .

Steve job na Melinda walikuwa wote Wakati wa apple .Melinda akamtosa Steve Jobs akaanzisha kampuni ya Microsoft na bill gates .

Melinda anaakili zaidi ya Bill gates .Level ya Akili ya Melinda ni level nyingine .So Melinda yeye ni mwanzilishi wa Microsoft
Shangazi yake melinda
 
Tuongee ukweli, kati ya Mwanaume na Mwanamke ni nani anayezeeka haraka hasa hasa kwenye via vya uzazi?

Jibu lipo wazi sana, Wanawake wakishafikisha 50+, tayari wanakuwa wameshazeeka. Sisi Wanaume tunao uwezo wa kupiga machine miaka yetu yote hata tukifika 90+
 
Kuna watu wana frustrations zao za maisha watataka kuzimalizia hapahapa kwenye talaka ya Bill and Melinda.

Wakati wenyewe Bill and Melinda wanaachana poa tu huku wakiimba wimbo wa "I Will Always Love You".

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom