SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 1,213
- 1,918
Ex wangu wa kichaga alinipelekesha hadi kuiona dunia chungu yaani ....Uko sahii,
Kuna maex walaaniwe wanazingua sana
Wanapenda mtu afu wakiacha a wanaacha legacy mbaya Sana itayoathiri mahusiano ya mwingine asiye na hatia
Mfano Mimi,
Nagombana sana na mpenz wangu mamaJ, sababu maex wake (almost wote)
Walikua mafala au tuwaite nice guy,
Yaan walimsikiliza Sana,kumpa attention na chochote kile atakacho kwa MDA atakao. Kwa kifupi aliwapelekesha Sana.
Sasa ile huo mfumo kategemea kuukuta pia kwangu, kakuta ndivyo sivyo.
Basi kila siku full tafrani,
Anatamani Sana kunibadilisha niingie Kwny mfumo wake ila inashindikana.
Tunagombana Sana
Kila Mara kulingisha na Maex wake
Popote alipo Mungu amlaani na kizazi chake chote yaani,,,, 😂😂😂