Wanaume na Wanawake Tuepuke kuoa au kuoelewa na Wanawake au Wanaume wenye Ma Ex Wengi

Wanaume na Wanawake Tuepuke kuoa au kuoelewa na Wanawake au Wanaume wenye Ma Ex Wengi

Mfano Amehlo
Unakutana na bwana alietoka kwny mahusiano na mwanamke mshirikina au aliemkosa kosa kumpa sumu afe.

Basi huyu kila ukimpakulia chakula
anamuita kwanza paka wako au mwanao kumuonyesha chakula ulichopika kabla hajala.

Kila ukimpa chakula anakuangalia Mara mbili mbili, hadi jikoni anakufungia camera[emoji1]
Hawa ni kukaa nao kikachero tu
 
Yeah mafantasy na mautundu kunoga ndio yenyewe. Binafsi manzi asiye mtundu kitandani hata awe mrembo kiasi gani hanipi mzuka. Napenda sana hekaheka unamgeuza geuza kunako 6×6. Unapiga unainjoi
Huko ni kuhangaika mwanetu
 
Huko ni kuhangaika mwanetu
Ukipata demu anajua jukumu lake kitandani unaenda rounds za kutosha na utafurahia tendo lenyewe.

Sisi wanaume tunaambiwa hatuna nguvu za kiume sijui kimoja chali hawa wadada wakiwa sio watundu wanachangia sana hilo.
 
Uko sahii,
Kuna maex walaaniwe wanazingua sana
Wanapenda mtu afu wakiacha a wanaacha legacy mbaya Sana itayoathiri mahusiano ya mwingine asiye na hatia

Mfano Mimi,
Nagombana sana na mpenz wangu mamaJ, sababu maex wake (almost wote)

Walikua mafala au tuwaite nice guy,
Yaan walimsikiliza Sana,kumpa attention na chochote kile atakacho kwa MDA atakao. Kwa kifupi aliwapelekesha Sana.

Sasa ile huo mfumo kategemea kuukuta pia kwangu, kakuta ndivyo sivyo.

Basi kila siku full tafrani,
Anatamani Sana kunibadilisha niingie Kwny mfumo wake ila inashindikana.

Tunagombana Sana
Kila Mara kulingisha na Maex wake
Duuuh,DeepPond na mamaJ,usingo comment huu Uzi unge deletiwa.
 
Mfano
Mwanamke unadate na mwanaume wa jf aliekwisha tapeliwa sana nauli zake

Basi huyu kila ukiwa mbali ukamwambia atume nauli,

jibu lake,
"Tumia nauli yako,ntakurudishia ukishafika"

Ukijibu Sina Ela, utaskia

"Au Panda Basi,nipe niongee na konda,tiketi yako ntalipia stendi uku ukishafika"

Yaani kwenda kuliwa mbususu,
Unafanya kubookiwa kwny Bus utadhani umekua furushi la machungwa[emoji3]
Deep pond bana,kama booking ya mzigo
 
Nimejaribu kufanya utafiti wangu miaka mingi sana kuhusu mahusiano,Uchumba hadi ndoa.Na nikajua humu nikaona kampeni za vijana kuhusu kukataa ndoa.

Ila Kwa Hitimisho langu ni kwamba chanzo Cha Usaliti,heshima ndani ya Ndoa au hata kwenye Uchumba kutokuwepo inatokana na mtu kupitia mahusiano mengi kabla ya kuwa na mahusiano mapya au kuingia kwenye Ndoa.

Mfano; Kuna wanaume Leo yupo na Huyu atampa Sifa zake,Kesho yupo na Fulani pia atamchoka na kumkumbuka wa Nyuma.

Vivyo hivyo Kwa wanawake,unaweza ukawa nae ukamfanyia jambo Fulani asilipende akaanza kumbukumbuka wa nyuma na kuanza kukulinganisha,mwishoe usaliti na dharau ndipo zinapoanzia.

Ila ukibahatika kukutana na mpenzi ambaye ni mgeni kwenye sekta ya Mapenzi mtaheshimiana sana na kila Mmoja kuona thamani ya nwenzake.

Wanaume wenzangu Kwa wanawake tuombe tukatane wote wageni na tujifunze kila kitu Kwa pamoja.Unakuta upo na mwanamke anakwambia nishike hapa,mara oohh nifanye Kwa hivi,Daahh Huyu ujue lazima ashazoeshwa alikotoka huko..

Na Wanaume pia unakuta Upo na mwanamke unaanza kuona hakupi ulivyovizoea huko Nyuma,mara kufinyiwa Kwa ndani,sijui nini,Yaani vurugu tupu, Hapa lazima utaanza kumsaliti mke wako au mchumba wako.

Ndoa ni ibada,ndoa upate mtu sahihi,Ndoa sio Ngono,Kuna mengi ndani ya Ndoa.

Nawasilisha
Tendo la ndoa ni sanaa broo, kuna wanaume wanakojoza mwanamke bila kuingiza dyudyu sasa ww endelea kulialia eti ooh amepita kwingi, kua m.bunifuu hata bikra ukimpata ana maeneo ukigusa utamfurahisha.
 
Unadate na binti
Ex wake Alikua mzee wa show show

Nyie wote mtakaofata
Mtateswa sana na legacy ya ex wake

Usipokua fit
Utapiga binti hours bado haridhiki mpk utajihisi labda huna Nguvu za kiume

Utaanza kubugia energy,diclopa,alkasusu,konyagi ,mikono n.k mpk mwisho wa siku unaua Figo yako ukitafuta kumridhisha mpenz wako aliezoeshwa vby na ex wake[emoji4]
 
Tendo la ndoa ni sanaa broo, kuna wanaume wanakojoza mwanamke bila kuingiza dyudyu sasa ww endelea kulialia eti ooh amepita kwingi, kua m.bunifuu hata bikra ukimpata ana maeneo ukigusa utamfurahisha.
🤣🤣🤣💃🙌
 
Back
Top Bottom