Wanaume na Wanawake Tuepuke kuoa au kuoelewa na Wanawake au Wanaume wenye Ma Ex Wengi

Ex wangu wa kichaga alinipelekesha hadi kuiona dunia chungu yaani ....

Popote alipo Mungu amlaani na kizazi chake chote yaani,,,, 😂😂😂
 
Mkuu si umuachie aolewe na yeye
 
Hata wanawake pia,maana wanaume wengi wanapata shida,hawaamini wanawake Kwa sababu ya hao wanawake kuwa na tabia zisizo nzuri zinawafanya wanaume waone kila mwanamke mbaya...
 
Ex wangu wa kichaga alinipelekesha hadi kuiona dunia chungu yaani ....

Popote alipo Mungu amlaani na kizazi chake chote yaani,,,, 😂😂😂
😀😀😀😀hapana Mungu ambariki kwa kutuwakilisha vyema
 
Unakwenda kudate na mwanamke

Ambae aliezoeshwa na Maex wake kua kila baada ya sex au outing lazima apewe pesa ya kifuta jasho.

Wkt Wewe unaamini kumpa mwanamke pesa baada ya tendo au outing Ni sawa na kumnunua.

Basi atakuvumilia mwanzoni,
Yakimshinda ataanza kukuomba live umpe Ela, na sometimes anakudai kabisa
"Wee vipi Mbona umenilala ujanipa Ela?"
"Inamaana tumetoka out unaniacha mikono mitupu?"

Maswali Kama hayo Kama una jazba Sana
Unaweza tamana kurusha ngumi, au unavunja mahusiano kabisa.[emoji4]

Kumbe ni legacy inamsumbua
aliyoachiwa na mwanaume mwenzio aliepita nae akamzoesha hivyo [emoji1]
 
Hata wanawake pia,maana wanaume wengi wanapata shida,hawaamini wanawake Kwa sababu ya hao wanawake kuwa na tabia zisizo nzuri zinawafanya wanaume waone kila mwanamke mbaya...
Sahii kabisa,
Hi kitu inatafuna both ke&me[emoji4]
 
Mkuu tunashukuru kwa nondo hizi...
Wengi wanajitoa ufahamu lakini haya yote ndio uhalisia na kila mtu mwanamme Kwa mwanamke wanakutana navyo
 
Wenye ma-ex wengi ndo wazuri, wana experience hata ukipiga chini haumii kiviile hadi roho ikuume.
 
wenye ma-ex weng ndo wazuri, wana experience hatavukipiga chini haumii kiviile hadi roho ikuume.
Usiombe ukutane na mwanamke ambaye ashaachwa sana,unaweza kuwa nae hata asiwe na hisia na wewe, visirani kila siku Kwa kuwa tu anamkumbuka Ex wake
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hapana Mungu ambariki kwa kutuwakilisha vyema
Mfano Amehlo
Unakutana na bwana alietoka kwny mahusiano na mwanamke mshirikina au aliemkosa kosa kumpa sumu afe.

Basi huyu kila ukimpakulia chakula
anamuita kwanza paka wako au mwanao kumuonyesha chakula ulichopika kabla hajala.

Kila ukimpa chakula anakuangalia Mara mbili mbili, hadi jikoni anakufungia camera[emoji1]
 
Mfano
Mwanamke unadate na mwanaume wa jf aliekwisha tapeliwa sana nauli zake

Basi huyu kila ukiwa mbali ukamwambia atume nauli,

jibu lake,
"Tumia nauli yako,ntakurudishia ukishafika"

Ukijibu Sina Ela, utaskia

"Au Panda Basi,nipe niongee na konda,tiketi yako ntalipia stendi uku ukishafika"

Yaani kwenda kuliwa mbususu,
Unafanya kubookiwa kwny Bus utadhani umekua furushi la machungwa[emoji3]
 
Hatari sana kaka.Watu wanakataa uhalisia lakini ndiyo ilivyo.
 
Ni kweli kabisa. mwanamke hana usemi kwa EX wake ndo maana mnashauliwa kuoa bikira. Ndoa ni ya Mwanamke. Yeye ana uwezo mkubwa wa kutengeneza au kuvunja ndoa yake.
 
Eeeeebwana! Vijana mnakumbana na mambo makubwa kiasi hiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…