Wanaume naomba mnijibu tafadhali

Andiko hili ,nashauri Waziri Gwajima tembelea ili ajionee kwa namna nchi hii wanaume wananyaswa, yani mwanamke anaachiwa pesa na bado analalamika ,vipi siku mmeo mambo yake yakaenda vibaya kiuchumi hata kama ulikua na sh 1000 utamsaidia ? Ndo yale dakika 10 umelala mbele.

Takwim sinaonesha wanaume wanaongoza kufa mapema ,why nikutokana na namna wanavyoongoza mambano kwamua familia zao ,ila utashangaa yote amepambania akishafukiwa ,miezi sita mingi mwanamke anaanza chiachia kama vile alikua kwenye harakati za kutafuta izo mali tofauti na kulalamika kwenye mitandao anaachiwa pesa ndongo za matumizi nyumbani
.
Wapambanaji wenzangu wanaume tafuteni mapesa ila pia jijali usijiumize sana ,kila pesa unayopiga 10 % kula maisha ,maisha sio fair
 
Unataka aivute ichanike hiyo note. Unatoa bunda unachomoa kiasi kinachotakiwa usije chana mali ya taifa
 
Teh teh πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ dah!...umewaza mbali sana...
 
Kwa hiyo ulitaka akatolee chooni ili usione kiasi alicho nacho?

Wanawake mko na matatizo sana, mwanaume wa kweli anaweza shika hata milioni kadhaa na baada ya muda zimegawanywa zote zinaisha; zikileta nyingine ni bahati.

Wanawake kwa asili wanawaza macho yao yanapoishia.
 
Wanawake tuna akili kama za watoto,nilivyokuwa mdogo baba alikuwa anaweka pesa kwenye mfuko wa shati sasa nikiomba akisema hana nilikuwa simuelewi kabisa...kumbe zilikuwa zina mambo kibao ya kusolve..πŸ˜…
 
Yani we unaonekana kabisa una tamaa. Laki 4 nyongo inakutoka hvo, hzo nyingine zina mipango ya kuzalisha zaid ya hzo ulizoziona. We unaonekana kushika hata laki ni nadra sana, iyo laki 4 sio hela ya kuwaza eti inaenda wp.
 
Yani we unaonekana kabisa una tamaa. Laki 4 nyongo inakutoka hvo, hzo nyingine zina mipango ya kuzalisha zaid ya hzo ulizoziona. We unaonekana kushika hata laki ni nadra sana, iyo laki 4 sio hela ya kuwaza eti inaenda wp.
Bado yuko 20's huyo 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…