Wanaume naomba mnisaidie hapa

Wanaume naomba mnisaidie hapa

Nikinywa maji nakuona kwenye kikombe!
Kwahiyo unavyoona ninavyojichanganya kwenye comments huko na watu basi unahisi mimi maharage ya mbeya au barabara kila mtu ananikanyaga sio.manina kijana tulia utanitoa kwenye reli mda si mrefu
 
Kwahiyo unavyoona ninavyojichanganya kwenye comments huko na watu basi unahisi mimi maharage ya mbeya au barabara kila mtu ananikanyaga sio.manina kijana tulia utanitoa kwenye reli mda si mrefu
Mbona unahasira! Wamekufanyaje..?
Punguza jazba mrembo nataka tuyajenge nikuwowe..
 
Hivi inawezekana ukampenda mtu na usiwasiliane naye? Yaani ikapita siku tatu mpaka week? Inawezekana mwanamke unayempenda usitake kumjulia hali?

Naombeni tu mnisaidie hili jibu

Mtu anakwambia anakupenda ila ukijikausha usimtafute wewe anaweza asikutafute mpaka week anakucheki tena kuna ukweli hapo?
Inategemea na ubize wa kazi zake zipoje?Nature ya kazi zake anazofanya.
Chukulia kwa mfano mtu anayefanya kazi mgodini unafikiri atapata muda wa kukupigia kila siku?Atakupigia tu akiwa na kitu maalum cha kukueleza sio kupiga piga hovyo kwa sababu ya kupiga story tu
 
Y
Hivi inawezekana ukampenda mtu na usiwasiliane naye? Yaani ikapita siku tatu mpaka week? Inawezekana mwanamke unayempenda usitake kumjulia hali?

Naombeni tu mnisaidie hili jibu

Mtu anakwambia anakupenda ila ukijikausha usimtafute wewe anaweza asikutafute mpaka week anakucheki tena kuna ukweli hapo?

Yes/No wapo baadhi ya watu upendo wao ni zaidi ya kuwasiliana, hawako emotional Ila wanapenda na si wepesi wa kupiga au kutuma sms, angalia feedback ukiwa umempigia na deepth ya tone yake. Na sometimes inatokeaga mtu akiwa na multiple options za kutosha
 
[emoji28][emoji28][emoji28]mimi ni aina ya mwanamke ulie describe hapo juu ndio maana ni wale watu mtu anasema wakorofi it’s hard to tame me,so definitely aina yetu tupo hatuangukii kwenye majority
Kama Kuna mtu umemwandikia huu ujumbe ningekushauri kitu anae mtu wake atakae muwezea hakuwa wako,it’s okei songa mbele chief

He is very smart katika hao wachache ndio nimemjumuisha hapo,am not a very easy person to handle ila yeye ameweza alafu hatumii nguvu sijui nikuelezeje ila jua tu kila mtu ana mtu wake ana match nae haitumii nguvu vitu vinaenda tu

Mi napita tu
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Si bora huyo anaekuhakikishia kila wiki kuwa anakupenda kuliko hawa kila baada ya dakika tano anakuambia anakupenda ikitimia wiki na mapenzi yameisha
 
Mi napita tu
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]hapa Kuna story nyingine mpya
Best Anko una miaka mingapi?una utoto kama ni kwenye 30 basi una kisafari kirefu
 
Back
Top Bottom