Wanaume ndio chanzo cha ma single mother, lakini kashfa, dharau, matusi na kebehi husukumiwa wanawake. Tuwe na heshima kidogo

Ukitumia haya maneno
Speed and direction ndo tutamaliza tatizo Soma comment yangu Juu Hapo juu
Wanaume chanzo cha singomamaza😮
Wanaume chanzo cha mashoga🙄
Wanaume kichwa cha familia🙏

Wakiamua wanaume kubadilika hizi shida zinaisha

Maombi yetu hata leo Mungu awabadilishe
 
Ndo maana nimezungumzia kuwa mtu akijua KUTOFAUTISHA speed na direction lazima tatizo liishe maana ukiwa subra utasubiri Hadi upate mme Bora na sahihi sasa eti Mtu anasema umri umeenda au kisa anapewa vitu vidogo Kama Kodi na chakula Basi anazaa tu huku akiwa anajua Kabisa Mambo sio marahisi haraka ni ya SHETANI tu.
 
Safi sana
 
Wanasahau kuwa hujafa hujaumbika
 
Tunashukuru hata wapo wanaume wa kutupatia watoto,hayo mengi usiyajali wapuuze.....wanaume sasa ni wachache sana wengi wamekimbilia uwanawake.,....nao wanapiga ndulu"babe usiweke yote!😂😂😂😂🙌
 
KIfupi ni kuwa kisaikolojia wanakuwa hawako sawa,anawaza mtoto/watoto wake,anawaza mwanaume aliyemzalisha na anawaza mwanaume mpya aliyenaye,upendo wake hauwezi kuwa sawa na ambaye hana mtoto,wanakuwa kama wamevurugwa,ndio maana wanaume hawaachi kupiga kelele juu yao.Huwa hawako sawa,na kubalance swala la mapenzi wanapata shida sana mwishoe huishia kubeba lawama za ukatili,roho mbaya,usaliti n.k.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…