Mbali na tabia mbaya za wanawake zinazopelekea sisi wanaume tuwakatae na kuwaacha wakiwa single mother.
IFAHAMIKE KWAMBA;-
Wanaume tunajua wazi kabisa mwanamke akidai mimba kwa nguvu na ukakataa kumpea ana kudharau sana, anakuona hanithi, tasa na mbaya zaidi ukishupaza shingo anaenda kukubebea ya kidume mwezako na ukiwa bwege bwege una bambikwa ili kukomolewa.
Katika harakati za wanawake wetu kudai mimba kwa nguvu kumeibuka kauli tata sana na ambayo inaongeza single mother kwa wingi sana na yenye mashaka makubwa pamoja na ya kutumia akili sana ni hii ambapo mpo katikati ya mnyanduano mwanamke anakuambia
""NIPE MIMBA NITALEA MWENYEWE""
Kijana ukijichanganya hapa fahamu wazi kabisa umeingia cha kike na umeshiriki kuongeza single mother mtaani pasi na mashaka yoyote na hata wakati mwingine kulazimishwa kuoa bila kutarajia tena hata kwa usiye mpenda hakika
Ndugu zangu kauli hii tata imekua chachu ya ongezeko la single mother wengi mtaani kutokana na nguvu kubwa ya ushawishi walio nao mabinti wengi katikati ya mnyanduano huku wa kiongozwa na shetani pamoja na hisia zao.
Kijana unakuta hayupo teyari kuzaa na mwanamke ila ana shawishiwa mithili ya nyoka alivyo mshawishi mwanamke pale bustani ya eden mpaka mwanaume anajikuta anaachia mbolea ndani kwenye kipochi manyoya kwa matumaini ya asionekane bwege na tasa pindi mwanamke anapo dai mimba huku mwanamke akihimiza atalea mwenyewe hata kama mwanaume hutaki kulea na hauna mpango wowote wa kua na mtoto kwa wakati huo.
Ndugu zangu maneno haya yaliyo beba uharibifu mkubwa wa "nipe mimba nitalea mwenyewe" kutoka kwa mwanamke ni matamu sana hasa hasa pale anapo ya zungumza mwanamke katikati ya mnyanduano huku kakutegeshe siku hatari na shetani akiwa katikati yenu basi yanafanya kazi ya uharibifu kwa haraka sana.
Ndugu hili swala hupelekea vijana wengi sana kuwapa mimba wanawake pasipo na kuridhia na baadae kuwakataa maana hawakua teyari kuzaa nao bali ni msukumo uliotoka kwa mwanamke na hivyo kupelekea ongezeko la single mother wengi sana mitaani.
Wanawake kumbukeni mwanaume hategwi na wanaume wengi sana mnao walalamikia wamewatelekeza wanasema hawakua teyari kuzaa na nyie ila ndiyo nyie mlilazimisha kuzalishwa kwa kuwashinikiza mtalea wenyewe mbali kabisa wanafikia kusema waliogopa wasipo wapa mimba mtawaona mabwege, wajinga na kuwadharau sana.
NAWAOMBENI WANAWAKE HII TABIA MUIACHE HARAKA, NA BASI SISI KAMA WANAUME TUTUMIE AKILI SANA PINDI TUKUTANAPO NA USHAWISHI HUU WA KIPUUZI MAANA TUKIWAENDEKEZA HAWA WOTE WATAKUA SINGLE MOTHER ALAFU HAKUNA KITU TUTAKIFANYA CHA BARAKA NA AMANI MAAN DAMU ZA WATOTO WETU TULIOWATELEKEZA NA WENGINE KUFA KWA KUKOSA HUDUMA BORA ZINALIA KWA UCHUNGU NA TUTALAANIWA
Naomba kuwasilisha waraka huu.
NB: MWANAUME HAKOMOLEWI, MWANAUME HATEGWI . MTOTO ATATESEKA SANA, SINGLE MOTHER WATAKUA WENGI MNO