Wanaume ndiyo viumbe pekee wanaoweza kukaa pamoja na kupiga ‘story’ kwa saa 6 bila kujuana majina yao

Wanaume ndiyo viumbe pekee wanaoweza kukaa pamoja na kupiga ‘story’ kwa saa 6 bila kujuana majina yao

mie kipindi hicho marafiki wengi walikuwa O-level. Kwa darasani mkuu. Ilikuwa kila ticha na somo lake pongezi zilikuwepo sema lifestyle niliiweka kawaida na nikajenga uhusiano mzuri na wanaonifundisha kiukweli advance kwangu ilikuwa simple sana.
Lengo la uzi, ni kutaka kutuaminisha ulikua kipanga advance, hongera sana kwa hilo
 
Nimepiga kazi ya kibarua jana na juzi. N ikazi ya survey. Mkubwa wa kazi ananiagiza '' boss fanya hivi fanya vile. Boss leta hiki" kanilipa vizuri lakini hata jina hanijui.
Abarikiwe kwa uaminifu
 
Hujaelewa mada tulia soma vizuri. Au ngoja nikusaidie mfano mpo kwenye usafiri wanaume mnaweza jikuta mnapiga story kwa muda mrefu bila kuulizana majjna zaidi ya kuitana mwamba,bro. Hajamaanisha story za kujichanganya au kufatana na watu mbali mbali
Mada nimeielewa vizuri ndo maana nikatoa mfano wangu kuwa nilikuwa najichanganya na watu mbalimbali bila hata kufahamiana nao majina wala hawakuwa marafiki wangu. Wewe ndo utakuwa hujaelewa vizuri yaani sio kupiga story siku moja unaweza ukawa unakutana na watu kijiweni miaka kadhaa mnapiga story mnakula pamoja saa zingine bila hata kufahamiana majina na mambo mengine kitu ambacho kwa wanawake ni nadra sana
 
Naongezea.

Unafukuzia Mtoto, anakusikiliza mnabadilishana/mnapeana namba za simu. Cha ajabu wewe ukiwa unasevu namba unamuuliza jina lake kisha unasevu kwa jina alilokutajia, yeye wala hakuulizi jina lako ila anaisevu namba yako na mtawasiliana kama kawaida.

Maajabu haya
Daah hii ishu inanikuta sana


Halafu bado uko naye kwenye uhusiano na unapiga
 
Teh life is two way traffic...

Hivyo unajiachia unapiga story Kwa vile unajua hamjuani kabisa.. Unajiachia kabisa.

Hapa Bongo hakuna mtu ambae hajulikani.. Amini kwamba.. Wote mko na chata
 
Kwa hyo wanawake huwa wanaulizana majina yao c kweli Hali hyo Ni kwa wote tu
 
nachukia mtu umekutana nae dakika chache za story anauliza unaitwa nani? kaomba namba ya cm, dakika sifuri kauliza unaishi wapi? unafanya kaz gani? 😂😅 yaaan sikuzote ukitaka uonekane mpumbavu useless uwe na tabia hizo...
Kawaida kumjua mtu jina na kuhitaji namba yake inakuja automatically kutokana na kila mmoja kuona umuhim wa mwenzake kwa wakat huo au baadae, ktk mazingira haya nyote mtajikuta mnataka kubadirishana...
Ukiona umekutana na mtu ktk maongez na story za hapa na pale ukajiona wewe ndiye unahitaji sana kumjua jina na namba yake, nakushauri mwisho kabisa wa maongez ktk kuagana anza wew kujitambulisha unaitwa nani unatokea wapi au unaishu gani mjini. Halafu muache yeye aamue kujitambulisha jina lake na akiishia kutaja jina tu usimuulize unaishi wapi au ana mishe zipi mjini, kuishia kwake kujitambulisha jina pekee maana yake hataki au hapendi shobo, kwahio muage ondoka... Ila ukiona na yeye kajitambulisha jina lake na sehém anayoish au kaz anayofanya basi hapo unaweza kumuomba na namba yake...
All in all usiendekeze shida zako kwa mtu ili ufanikiwe kupata connect za maisha.
 
Back
Top Bottom