luchelele mzunguko
JF-Expert Member
- Feb 12, 2021
- 1,206
- 1,641
Sana mkuuExactly
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana mkuuExactly
Lengo la uzi, ni kutaka kutuaminisha ulikua kipanga advance, hongera sana kwa hilomie kipindi hicho marafiki wengi walikuwa O-level. Kwa darasani mkuu. Ilikuwa kila ticha na somo lake pongezi zilikuwepo sema lifestyle niliiweka kawaida na nikajenga uhusiano mzuri na wanaonifundisha kiukweli advance kwangu ilikuwa simple sana.
yaani nifanye vizuri nisijisifu sema sitaki kujulikana ningekutajia shule then ukauliza.Lengo la uzi, ni kutaka kutuaminisha ulikua kipanga advance, hongera sana kwa hilo
Mada nimeielewa vizuri ndo maana nikatoa mfano wangu kuwa nilikuwa najichanganya na watu mbalimbali bila hata kufahamiana nao majina wala hawakuwa marafiki wangu. Wewe ndo utakuwa hujaelewa vizuri yaani sio kupiga story siku moja unaweza ukawa unakutana na watu kijiweni miaka kadhaa mnapiga story mnakula pamoja saa zingine bila hata kufahamiana majina na mambo mengine kitu ambacho kwa wanawake ni nadra sanaHujaelewa mada tulia soma vizuri. Au ngoja nikusaidie mfano mpo kwenye usafiri wanaume mnaweza jikuta mnapiga story kwa muda mrefu bila kuulizana majjna zaidi ya kuitana mwamba,bro. Hajamaanisha story za kujichanganya au kufatana na watu mbali mbali
Daah hii ishu inanikuta sanaNaongezea.
Unafukuzia Mtoto, anakusikiliza mnabadilishana/mnapeana namba za simu. Cha ajabu wewe ukiwa unasevu namba unamuuliza jina lake kisha unasevu kwa jina alilokutajia, yeye wala hakuulizi jina lako ila anaisevu namba yako na mtawasiliana kama kawaida.
Maajabu haya