Wanaume ngozi nyeupe wapo tofauti sana

Wanaume ngozi nyeupe wapo tofauti sana

Kuna mambo matatu yanayomuongoza mwanadamu katika kuleta msawazo wa kimahusiano na wanadamu wenzake ambavyo ni....
......HAYA ,HEKIMA na UFAHAMU.......

Mwanadamu anapotoka katika misingi hiyo ya kibinadamu anabadilika kuwa kiumbe mpya kimatendo, kimaongezi na hata kihisia.......

Mwanadamu aliyeachana matumizi sahihi ya hiyo misingi ni hatari zaidi ya mnyama wa mwituni.......

Think big take control of your destiny......
 
Huwezi mfananisha na gube gube la kutega wazungu huwezi kumkalisha na akina dada wa majungu
 
Hapo ndipo mnapoanza kututia aibu wanawake wa kiswahili mnaendekeza sana njaa.
 
Wanawake mnaomba sana mpaka mnaboa....jaribu kidogo kuficha dhiki zako..
Unajua si kwamba wanaume hawataki kuhudumia. Ila mtu mmejuana 3 days, tayari anaomba umnunulie simu, daily ni vibomu vya kula, mara baby nataka nguo.. all in 3days?

Mwanaume anaejielewa anaona huyo ni gold digger. Full dhiki.
 
Back
Top Bottom