Wanaume ngozi nyeupe wapo tofauti sana

Wanaume ngozi nyeupe wapo tofauti sana

Wanawake wa kibongo wana laana tena watia kichefuchefu.Kwa hiyo wewe unaona sifa tabia yako ya ombaomba yaani unajisifia.Tafuteni mali zenu ndiyo maana mnachezewa kama mpira mmekuwa kama vifaa vya starehe
 
Upole uliopindukia sio sifa nzuri ya mwanaume kwenye mahusiano.
 
Mikopo Chechefu Ndiyo Inayofanya Unawasiliana Naye
Home Ground Tanzania Tunakutimua Na Number Nakwambia Futa
 
Ngozi nyeupe unamaanisha na akina Haji Manara?
 
Mkuu plz kitulize...

Angalia sana... Huyo sio Fala kama unavomfikiria
 
Kuna mkaka anatokea misri nilikua kwenye mahusano nae tulidumu miaka 3 halafu tukaachana. Tulivoachana atukuachana vizur lkn baadae tukayamaliza tukawa tunawasiliana km marafiki wa kawaida mpk sasa. Mara ya mwisho kuonana nae ilikua 2019 mwshoni. Tumeachana lakin kla mwaka ananitumia
Yaani inaonekana kuumbwa mwanamke na hio river wami mnajisikia kila kitu kwa dunia hii au kuna namna labda mnapata maumivu ambayo mnahusisha na manufaa ya fidia, wakati mwingine kama watu kamili the other time kama nusu watu au mashetani
Hongereni Mungu fundi sana kwa kuwaumba ninyi viumbe hakunaga.
 
Kuna mkaka anatokea misri nilikua kwenye mahusano nae tulidumu miaka 3 halafu tukaachana. Tulivoachana atukuachana vizur lkn baadae tukayamaliza tukawa tunawasiliana km marafiki wa kawaida mpk sasa. Mara ya mwisho kuonana nae ilikua 2019 mwshoni. Tumeachana lakin kla mwaka ananitumia zawadi siku yangu ya kuzaliwa. Mwaka jana nilikua na tatzo nikampigia sim akantumia pesa zaidi ya niliotaka. Baada ya apo tukawa tunaendelea na mawasiliano yetu yakirafiki ya kawaida.

Mwaka huu mwezi wa 6 ameoa, hajaniambia mpk sasa, mimi pia sijamuliza na bado tunawasiliana. Habar ya kuoa nmesikia kutoka kwa mdogo ake alintumia adi picha na kwa marafiki wengine.

Jana nkasema ngoja nimjaribu, nikamwambia nna shida kiasi fulan cha pesa km kawaida yke leo amenituma zaidi ya kiasi nlichosema. kaka wa watu mpoleee alaf sijui ana pesa za kuchezea [emoji23][emoji23]

Anajua km spo single nna mtu mwingne lakn bado anatuma pesa nikimwambia nna shida. Ila na mimi nna bahati ata uyu nliokua nae pia mpolee lakin tukikorofishana natamanigi nikimbie, ana maneno ya kuumiza moyoakikasirika. Wanaume nnaokutana nao wana moyo wa tofauti sna mpk saa ingine najiuliza ivi awa wameubwaje?
Wewee ni mdangajii. Mwanaume yeyote Mwenye pesa ana kufunua.
 
Sema huo cyo wa bure, Tena mtu wa misri itakuwa analipa fadhila za kutunikiwa 0713 Tena nadhani Mara nyingi
 
Back
Top Bottom