raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Kwa mwengine pesa sio kila kitu kwake akiwa nazo. Ili mradi tu mmeachana na mnaendelea kuwa marafiki ukiwa na shida ya pesa anakusaidia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 Kikosi cha mizingaKweli wewe ni mwenyekiti wa kikosi cha mizinga😂 unaskia raha kumuomba ex wako eeh, baby wako wa sasa akikufuma una wasiliana na ex na unaomba pesa atajiskiaje?🤭
Ndiyo ni mwendo wa mizinga tu😂🤣🤣🤣 Kikosi cha mizinga
Kwahiyo pesa na zawadi ndo zinakufanya umuone wa tofauti!!!?
Tafuta pesa zako acha kuwa tegemezi
Siku ukiamka mbususu haipo utaishije?
Wanaume wote mbona tjo hvo, wastaarabu, wapole, makini na hatuchepuki kabisaa!!au nasema uongo wanaume wenzangu??Kuna mkaka anatokea misri nilikua kwenye mahusano nae tulidumu miaka 3 halafu tukaachana. Tulivoachana atukuachana vizur lkn baadae tukayamaliza tukawa tunawasiliana km marafiki wa kawaida mpk sasa. Mara ya mwisho kuonana nae ilikua 2019 mwshoni. Tumeachana lakin kla mwaka ananitumia zawadi siku yangu ya kuzaliwa. Mwaka jana nilikua na tatzo nikampigia sim akantumia pesa zaidi ya niliotaka. Baada ya apo tukawa tunaendelea na mawasiliano yetu yakirafiki ya kawaida.
We cheza tuu na wapemba wa mbele wakupake Tuzu wakurife.[emoji23]Tangia nianze kudate kwa kutaka mwenyewe sijawai kudate mtu mweusi