Na haka kautetezi wanakapenda sanaMen are hunters by nature..!!
Huo muda wanahamishia chimbo jingine kufanya campaign, huwa wanadai hawataki tactics zao za kutongoza zipungue makali, hivyo wanazifanyia mazoezi..!!ππ
Nilikuwa sijui kwanini wanagawa GB za bure, tiGO wasenge sana ndo maana nilishtuka πNikisikia neno tigo najisikia vibaya na actually sijawahi tumia tigo katika mawasiliano
Kuna kitabu kinaitwa " The subtle of art of not giving a fu<k" ukisoma hicho utajua kinachotakiwa ufanye ni....Unakuta Mwanaume mwanzoni mwa ndoa au mahusiano anakua na juhudi sana na wewe utapigiwa sana message kwa sana mawasiliano asubuhi mchana jioni attention kwa sana the moment tu mwanamke ameanza tu ku reciprocate the love ni kama anakua ameharibu.
Mwanaume huyo anaanza kurelax juhudi zinapungua message zinapungua calls zinapungua zile mbwembwe alizokua anafanya anaacha kwanini inakua Ivo Wanaume nikwamba hataki mpendwe ama maana mkishapendwa na mkajua mnarudi nyuma. Tufanyaje wanawake tushauriniπ₯Ίπ₯Ί
Hata sijui nijibu nini πMseme hamtaki kupendwa?
Tulizinguana hiyo siku hasira nikapasua simu yake, akajifanya jeuri akatoka nikamfata, akaingia kwenye gari nikatafuta mjiwe nikavunja kioo π€£π€£π€£Kumbe Wii ni bondia π€£π€£π€£
πππ€£π€£π€£ umeanza halafu kuna kitu ntakwambia tulia utacheka sana.!!
Na usivyojua kupenda sasaβΉοΈ...utajibu Nini sijuiπBado sijajibuπ
Tuliaπ€£Hii comment imeniuma sana π
ππNa haka kautetezi wanakapenda sana
Nyie si mnasema mnapenda pochi ? Na sisi tunapenda kipochi manyoya , ubaya ubwela πNa usivyojua kupenda sasaβΉοΈ...utajibu Nini sijuiπ
Ni kweli wajuzi wanasemaKuna kitabu kinaitwa " The subtle of art of not giving a fu<k" ukisoma hicho utajua kinachotakiwa ufanye ni....
The less the fu<k you give, the more the fu<k you get, usimpe sana attention yako mwanaume hadi akaona attention yako yote amechukua. jifunze ku balance equation maana mapenzi wala sio magumu pia sio rahisi sana.
πππ unavyopenda ubuyu sasa.!!ππ
Nakusubiri piemu hebu..!!
Aiseee sio poa daahNyie si mnasema mnapenda pochi ? Na sisi tunapenda kipochi manyoya , ubaya ubwela π
Nyie mbona mnatumulika tochi usikuππ
Hawa wanaume wetu ni basi tu ndiyo washakuwa wetu ila wana vituko mno..!!