Wanaume ni kwamba hamtakagi kupendwa ama ni nini?

🤣🤣🤣Wii wew kiboko nitakuja unifundishe umafia
 
Ni kweli wajuzi wanasema
Don't chase instead attract him/her
Usikimbize kitu kinachokimia huwez kukipata kamwe bali kivute
Ni Somo pana sana
Chase ni usifukuzie kwa lengo la kukipata ila hii formula inakuwa applied katika every day life kwa wanaume wakati wa kumtongoza mwanamke
 
Interesting, mkishazoeana tu ule moto wa mawasiliano full time unakata. Baada ya hapo mwanamke anakua mpweke kihisia mpaka anaweza kupata mchepuko ambaye ana time ya kutosha for her.
 
Kuepusha yote haya sjui attention, download ile application ya autoreply, Add namba, Bot (AI) amchatishe weeee aone mbn moto ule ule kumbe mwamba upo mech ya ugenini🤣
 
Wanasema wanawake wakipenda wanapenda mmoja ila wakichukizwa na mmoja wanachukia wanaume wote. By the way Wengine hatujaoa kwahyo hatuna ufahamu wa kutosha juu ya hilo. Bas njoo nikuoe naamini si wanaume wote wapo hivyo
 
Huwa haujutii 😃
Baadae mwenyewe ataleta nyingine 😂😂
Ila ss hivi nimekua nimeacha, hata kususa nimeacha.!!

Nilikuwa nikiandika msg sio gazeti Bali ni waraka wa mtume Paulo kwa watu wote 🤣🤣

Alivyo kichaa hasomi anafuta basi mimi naendeleza najua napiga kwenye mshono kumbe najichosha bure.!! 🤣🤣
Siku niliyojua nikavunja simu yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…