Wanaume ni wadudu

Wanaume ni wadudu

Aliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa..

limtu linakukuta zako na furaha linakufanya unafall alafu linaleta mambo ya kijinga 🥲

anyway, ladies take time to fear men, hakikisha una fear men

na nyie wanaume huwa mnajiskiaje kumuumiza mtu kihisia ?
kabla ya yote,ndugu mtoa mada,umeshapigwa tukio?
ni tukio gani hilo
 
Aliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa..

limtu linakukuta zako na furaha linakufanya unafall alafu linaleta mambo ya kijinga 🥲

anyway, ladies take time to fear men, hakikisha una fear men

na nyie wanaume huwa mnajiskiaje kumuumiza mtu kihisia ?
Pole sana bibie kwa kuliwa kimasihara!!!
 
Back
Top Bottom